Ndugu yangu madhara ya mwanamuziki kujiingiza kwenye ushabiki huwezi yaona sasa hivi lkn subiri ili vuguvugu la uchaguzi liishe ndo utaona!!
Kama mwanamuziki alitakiwa asionyeshe ushabiki wa chama chochote ili aendelee kuwakamata mashabiki wote bila kujali itikadi zao!
Alichokosea Diamond ni...
Jitahidi umrudishe kwao kwani utafiti unaonyesha watu wengi wanaoambukiza wenzao vvu huwa hawajui kama wana vvu hivyo huyo dada ukiendelea kuishi nae anaweza ambukiza mtoto kwani hawezi kuwa makini kwa sababu hajui hali yake.
Ninavyofahamu mimi official letter muundo wake huwa unakuwa hivi;
Address ya sender inakuwa juu kulia na address ya receiver inakuwa chini yake kidogo upande wa kushoto,,
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.