Walimu wa ajira ya 2011 hawajawahi panda daraja ingawa sifa zote wanazo.
Waliajiriwa 2011 mwezi gani?
Mshahara Hadi Mwisho Wa Mwezi.Ambayo Ni Tar30
Sijawahi kulalamika kuhusu kazi yangu ya Ualimu,tangu nilipoamua kufanya mambo yangu zaidi kuliko kazi na mshahara napata,ushauri wa bure kwa walimu wenzangu nenda kakope wastani wa 10mil njoo nikushauri biashara ya kufanya na usinipe pesa yako,utakuja kushudia hapa kuwa kazi ya Ualimu ndio imekutoa kwenye dimbwi la umaskini,maisha yenyewe mafupi walimu wenzangu
umetoka leo saa kumi na moja hakuna hawajaongeza fix tu za mitandaoni
sijawahi kulalamika kuhusu kazi yangu ya ualimu,tangu nilipoamua kufanya mambo yangu zaidi kuliko kazi na mshahara napata,ushauri wa bure kwa walimu wenzangu nenda kakope wastani wa 10mil njoo nikushauri biashara ya kufanya na usinipe pesa yako,utakuja kushudia hapa kuwa kazi ya ualimu ndio imekutoa kwenye dimbwi la umaskini,maisha yenyewe mafupi walimu wenzangu
mie nimeogopa kukopa kwa sasa,hivyo nimeamua kujitengenezea akiba kila mwisho wa mwez nahifadhi laki mbili..ningependa unipe ushauri wa hiyo biashara,bado mgen kweny kazi ndio kwanz nna mwaka mmoja na miez5...
Hapana mshahara haujatoka bado kwawalimu tusidanganyane
Hata mimi mwanzo nilikuwa naweka akiba na kufanya biashara ndogo ndogo lakini niliona imefika miaka mitatu hakuna jipya,kopa pesa fanya biashara ya kuingiza faida kubwa,tatizo la sisi walimu tumekuwa waoga sana,wakati watu wanatoka na mikopo mikubwa,zidisha hiyo akiba yako kwa mwaka mzima ni Tsh ngapi?ndio utajua kuwa huwezi kuendelea,halafu familia zetu ni tegemezi sana