We ndugu unamtafuta Mungu au kanisa, maana nasoma tu unavyojitetea na kujikweza na kudhani wewe ni special sana hivyo unataka kuwa pale unapodhani waumini ni watakatifu tayari. Anza kusali kwanza hapo nyumbani kwako. Mungu hajatupatia kazi ya kukutafutia kanisa bali kusali na kuwapokea...
Kama una ari ya kumsaidia tumsaidie. Ni wangapi wanatutapeli na tunajua wanatutapeli ila hatuna cha kufanya? Kama uko Dar wawezaonana nae ujiridhishe, hofu ikutoke.
Na unajiita Good Hearted! Ndiyo maana siku hizi hatuoni wa kuoa. Yaani we na rafiki yako akili zote ni sawa. Huyo mwenzio kamwe hatakuja kuwa mke mzuri hata kama atalazimisha ndoa. Nyie ndiyo wale mnaoua waume zenu kwa sababu mmeshazoea kuua kabla. Nawaonya kwa ukali kwa sababu siku hizi...
Usiwe na mawazo ya kinyonge hivyo Mkuu, fanya kazi, somesha wanao(kama unao) wafundishe kujiamini uone kama hawatakuwa watu wakubwa duniani. Tatizo siasa unaweka mpaka kwenye imani, lengo la Kanisa Katoliki ni watu waishi wakimtegemea Mungu na kisha baada ya kifo wamuone kama alivyo mbinguni na...
Wewe ni mkatoliki jina na uliyoyaandika yanakushuhudia. Nenda kwenye mtandao wa kanisa (News.va) au Radio Vatikani(habari ni kwa kiswahili) usome vizuri na uelewe. Uovu hauzuiwi kwa kuukimbia au kujifanya haupo, bali kuwasaidia hawa ndugu ili wapone na kumrudia Mungu. Yesu hakuja kuhukumu na...
Na hapa zimekaaje wakuu?
- Shanice- saving forever for u.
-Surface- shower me with ur love.
-George Strait-I cross my heart.
-Whitney H.-where do broken heart go.
-Force MD's- tender love!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.