Dooh u touch my heart ulivo mention her name..... Unaujua ule wa fly without wings...
sang 2 me by marc antony
1. I choose you - sara barreilles
2. Unbreakable - jammie Scott
3. Bed peace - Jhene Aiko
4. I have nothing If I don't have you - whitney houston
5. When I say I do - Kenny lattimore feat chante Moore
6. I will make love to you - boys 11 men
7. Baby can I hold you tonight- boyzone
8. One more day - Diamond Rio
9. Can't help falling in love- Julio Iglesias
10. Endless love - Mariah Carey & Luther vandross
Mim napenda sana hiz nyimbo, yaan hata nikiwa na mawazo nahis yanapungua, lakin Mume niliyenae hapend yaan ukiweka tu utasikia hebu toa mikelele yako, bas nimepunguza sana kusikiliza hiz nyimbo, nilivyoona huu Uzi nimetaman kulia
Mkuu, umenikumbusha mbali na hii "fly without wings", ni miongoni mwa nyimbo ambazo huwa zinanigusa sana nikizisikiliza