Recent content by mwombeki5

  1. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Nina tatizo la kuwaambukiza wanawake UTI

    hao mademu ndo walikuwa na UTI na siyo wewe! ila upo kwenye harakati za kupata UKIMWI,maana inaonesha unapenda kutembelea rimu(rosti)
  2. mwombeki5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vumbi la kongo

    ngoja nikae kiti cha mbele nisubirie watumiaji watusimulie Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Msanii Irene Paul amtuhumu Rammy Galis kufanya maigizo kwenye msiba wa Masogange

    Hizo zinaitwa sanaa za sanaa
  4. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Maoni, Mapendekezo na Pongezi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar, Paul Makonda

    Kiukweli Mhe Makonda kaonesha njia na kutusaidia kujua kuwa katika jamii yetu kumbe hali ipoje na kama hatutachukua hatua nini kitatokea mbele,hao wanao lalamika wajiulize nini wamefanya katika kutatua shida za wananchi wao katika maeneo yao! yeye amefanya kwa upande wake na wao wafanye nasiyo...
  5. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Big up sana kwa Aliexpress (ALIBABA), wanafanya vyema sana katika kuhudumia wateja

    kwa Tanzania ofisi zao zipo wapi?
  6. mwombeki5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti niolewe na mfuga kuku. Loh!!!

    Mfuga kuku ana pesa kuliko hata wafanyakazi wengi tu,sema wewe umekariri! ebu fikria anapata trai nne za mayai,trai moja elfu 15,sasa elfu 15x4=60000tsh per day,kwa mwezi ana milioni na laki nane! hapo dharau inatoka wapi?
  7. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Msaada shule zinazomilikiwa na jeshi tanzania

    Kizuka sec ipo morogoro,ukifika ubena zomozi utaona shuka hapo ulizia vigari vinavyoenda ngere ngere,vitakupeleka mpaka hapo,au kama una gari binafsi ukifika ubena ulizia barabara ya kwenda kizuka sec,lakini pia kuna bango lao
  8. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Mrejesho ,Nimeagiza Gari from Singapore

    Tuwekee picha na kisha tupatie website yao ili tucheck pia
  9. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Wapenzi wa magari mazuri msiache kupitia huu uzi ili kuuza au kununua

    weka namba za simu ili mtu akihitaji gari akutafute kaka
  10. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Jiondoe kwenye adha ya kupaka rangi kila mara kwa kutumia materials hizi

    Naomba ushauri nitumie nini kukabiliana na unyevu kwenye nyumba yangu? Eneo langu lina hali ya maji,hivyo kila nikipiga rangi zinabanduka,wanadai ardhi ina unyevu unyevu.msaada kwa wataalam wa ujenzi.asante
  11. mwombeki5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Aliniambia hanipendi anani 'enjoy', sasa katuma SMS anaumwa

    Mpe pole alafu mwambie aende hospital ndo watajua anaumwa nini?
  12. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday to 39-year-Old Halima Mdee

    Happy birthday Dada, ila Fanya mpango upate mtoto umri unaenda!
  13. mwombeki5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume mwenye umri kati ya miaka 33-36

    Vipi haudaiwi na bodi ya mikopo?
  14. mwombeki5

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hapa nishaibiwa au niendelee kujifariji?

    We msubiri wakati wa likizo maana uko yupo na mwenzio anayemsaidia matumizi ya chuo
  15. mwombeki5

    JamiiForums Tanzania Issue ya kupunguza ada kwa shule binafsi (private schools) ni ya kweli?

    Bado hazijapunguzwa maana leo nimempeleka mtoto shule nimelipa kama kawaida
Back
Top Bottom