Nina tatizo la kuwaambukiza wanawake UTI

Faru Juma

Member
Mar 11, 2018
31
25
Habari zenu wadau, sinaga maneno naenda kwa point moja kwa moja.
Mimi mwenzenu kuna jambo linaniumiza kichwa nashindwa kuelewa, nimepitia katika mahusiano na wanawake wengi (30+) shida ni kuwa kila dem niliepita nae ilikua lazma augue UTI katika hatua ya mwanzo ya mahusiano.

Nikimpeleka hospital anakutwa na maambukizi, mimi sikutwi nayo. Akipewa tiba tukirud haipiti hata wiki mbili lazima ugonjwa umrudie tena.

Naombeni msaada wa mawazo kwa wale wenye uelewa juu ya hili janga pia kwa wahanga wenzangu ushuhuda unahusika.

Nawasilisha
 
Kwamba unawaambukiza afu we ukutwi nao wenyewe wanakutwa nao
tapatalk_1545128381808.jpeg
 
Back
Top Bottom