Recent content by Mwlsamwel

  1. Mwlsamwel

    Nini maana ya methali "Peke peke za jirani hazinitoi ndani"?

    Asante mkuu. Kwa hiyo, je methali yangu inamaanisha inatubidi tusisumbuke na upekuaji wa majirani? Tusifikirie sana umbeya? Au kuna maana nyingine?
  2. Mwlsamwel

    Nini maana ya methali "Peke peke za jirani hazinitoi ndani"?

    Hamna mtu anayefahamu maana yake?
  3. Mwlsamwel

    Nini maana ya methali "Peke peke za jirani hazinitoi ndani"?

    Maswali yangu mengine ni haya: Peke peke ni nini? Kumtoa mtu ndani ina maana gani? Maana ya methali kwa jumla ni ipi? Asanteni waheshimiwa.
  4. Mwlsamwel

    Naomba tafsiri ya maneno yafuatayo kwa kiingereza

    Onyesha mifano mingine mizuri nitajaribu. "Nitakula" na "sitakula" hazitoshi kuonyesha maana nzima. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mwlsamwel

    Ramani ya Afrika mwaka 1959

    Picha yenye ubora mzuri zaidi hii hapa
  6. Mwlsamwel

    Tabia za Lugha

    Kila mtu, wakati wa utoto wake, anavumbua dhana ya lugha. Mama hawezi kumwambia mtoto, "mwanangu njoo nikuambie hivi kuna kitu kinachoitwa lugha" kwa sababu huyo mtoto bado haelewi lugha yo yote. Ni kazi ya kila mtoto akijifunza jifunza kutambua kwamba sauti zinazotoka kwa mdomo wa mama ndizo...
  7. Mwlsamwel

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "By no amount of stirring can muddy waters be cleared." - Alan Watts, paraphrased Similarly... "On no account brood over your wrongdoing. Rolling in the muck is not the best way of getting clean." - Aldous Huxley
  8. Mwlsamwel

    Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    "How you do anything is how you do everything."
  9. Mwlsamwel

    Ni sahihi mwanaume kuitika rabekah?

    Huku Marekani, Rebekah ni jina la kawaida kabisa, lakini wanawake tu wanaitika hivyo. Jina linaandikwa kwa namna mbalimbali. Rebecca Rebekah Becca (kifupisho) Bekah (kifupisho) Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mwlsamwel

    Wadau kuna mtu kanambia hii sentence. Lakini siiamini kama ni sahihi kwa anavomaanisha

    Ninavyosikia, katika uzoefu wangu, msemo unaenda hivi: "I have bigger fish to fry" Maana: "Nina samaki kubwa zaidi ninaopaswa kuwakaanga." Maana ya ndani: Sina muda kuyatenda mambo haya madogo madogo, kwa sababu kuna mambo mengine makubwa yanayohitaji kutendwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mwlsamwel

    Msaada wa maana ya hili neno na matumizi yake

    Mimi ni mwenyeji wa lugha ya kiingereza, lakini kiswahili bado nakijifunza. Kwa hiyo, naomba unisamehe kwa makosa yo yote yakiwepo. Swali lako ni zuri sana. Hata wale ambao wameongea kiingereza tangu utoto wanakosea matumizi mazuri ya hilo neno. Kwanza, nionyeshe mifano mbalimbali: "Do not...
  12. Mwlsamwel

    Stoicism Philosophy

    To me, stoicism is not worrying about things which you have no power to change. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mwlsamwel

    Bendera mpya kwa kila nchi ya kiafrika, kulingana na nembo za kitaifa

    Napendelea bendera ya ukweli ya kitanzania, lakini zingine za mataifa mengine zinapendeza.
Back
Top Bottom