Wadau kuna mtu kanambia hii sentence. Lakini siiamini kama ni sahihi kwa anavomaanisha

GANG MO

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
2,087
2,194
Kuna mdau kanambia "I have many fishes to fly" akimaanisha ana mambo mengi ya kufanya. Kasema huu ni msemo wa englishi kumaanisha hivo. Wataakam wa lugha nisaidieni kama yupo sahihi

sent using super amoled display
 
Siyo fly, ni fry akiwa na maana "Nina samaki wengi ninaopaswa kuwakaanga"! Ni sahihi, si unajua mambo ya methali.

kutoka: 22D Arnold st.
 
Siyo fly, ni fry akiwa na maana "Nina samaki wengi ninaopaswa kuwakaanga"! Ni sahihi, si unajua mambo ya methali.

kutoka: 22D Arnold st.
Nadhani hujamwelewa mtoa mada mkuu.

"I have many fishes to fly" - nina mambo mengi ya kufanya

" I got too many things to do- nina mambo Mengi ya kufanya

Ipi iko sawa hapo?

Sent from my SM-J530F using Tapatalk
 
Ninavyosikia, katika uzoefu wangu, msemo unaenda hivi:

"I have bigger fish to fry"

Maana: "Nina samaki kubwa zaidi ninaopaswa kuwakaanga."

Maana ya ndani: Sina muda kuyatenda mambo haya madogo madogo, kwa sababu kuna mambo mengine makubwa yanayohitaji kutendwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: Ok9

Similar Discussions

Back
Top Bottom