Nafasi za Kazi kwa Ajili ya Walimu Wageni wa Kiingereza Ziko Wapi?

Mwlsamwel

Member
Dec 13, 2017
76
75
Habari gani ndugu zangu,

Mimi ni raia wa nchi isiyo ya Afrika ya Mashariki, lakini niliishi Tanzania kuanzia mwezi wa 7 mwaka 2014 hadi mwezi wa 8 mwaka 2016. Ilikuwa kazi ya kujitolea. Sasa, mimi nataka niwe mfanyakazi wa kawaida katika shule ya kitanzania. Je, inawezekana?

Basi, swali langu ni hili: nafasi hizo za kazi kwa ajili ya walimu wageni zingetangaziwa wapi? Tayari niko natafuta kwenye zoomtanzania, brightermonday, na radar recruitment.

Maswali mengine: Pia, walimu wageni wanaruhusiwaje kufundisha? Kuna kikomo cha mkataba? Shule lazima iwe ya private? Visa ya kikazi inapatikanaje? Jamani naomba mwenye ujuzi wa sheria anisaidie kuelewa vizuri hatua zilizo mbele yangu ili ndoto yangu itekelezwe.

Siku hizi niko nasoma kwenye kozi ya cheo cha kufundisha kiingereza kwa wanafunzi wanaojua lugha nyingine kama lugha ya kwanza. Nitamaliza na hiyo kozi mwezi wa tatu mwaka ujao, halafu nataka nianzishe safari yangu ya kurudi Tanzania kwa ajili ya kazi.

Mimi niliweza kujifunza kiswahili kwa sababu niliingia jamii ya kiswahili. Mimi natamani sana kusaidia kujenga jamii ya kiingereza katika shule nzuri ili wanafunzi wakitumie kila siku ili wakijifunze vizuri sana.

Samahani kwa makosa yo yote ya kiswahili ninavyokitaipu. Asanteni kwa kusoma ujumbe wangu. Siku njema.
 
Wasubili wataalamu wanakuja
 
Naona jukwaa hili linatumika haraka! Lakini bado wataaluma hawajaja. Au labda uwezekano wenyewe hamna.
 
Nipigie 0692470547/0658276181

Back
Top Bottom