Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 7,980
- 13,633
Nimekuta mjadala kwenye daladala. Je ni sahihi mwanaume unapomwita kwa jina kuitika "RABEKAH"? Au anapaswa kuitika kuitika vp? Kuna ambao wanadai Rabekah wanaitika wanawake pekee.
Kuna wanaume nimeshawasikia wakiitika rabekah. Na wasichana nao pia nimewasikia wakiiti hivyo hivyo.
Usahihi ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wanaume nimeshawasikia wakiitika rabekah. Na wasichana nao pia nimewasikia wakiiti hivyo hivyo.
Usahihi ni upi?
Sent using Jamii Forums mobile app