Recent content by Mwitu temboni

  1. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Google waja na mpinzani wa WhatsApp

    Ishakua released, check tena
  2. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania SD memory card inahitajika

    Natafuta sd memory card kwa ajili ya camera., Mwenyenayo anichek kuanzia 4GB
  3. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Picha: Hii imekaaje?

    Mkuu, ndo kazi yake huyo, usalama! So hakuna cha ajabu hapo
  4. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu Iphone 6 na Iphone 6 plus

    Pia hata usalama wa data labda 50%
  5. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu Iphone 6 na Iphone 6 plus

    Unlock iCloud activation lock for your iPhone / iPad | iPhone IMEI.Net check hiyo link mkuu, me ninachojua iphone inausalama mzuri wa data zako but kuhusu icloud sio ishu inatolewa na kutumika safiii
  6. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Asante smartphone

    [emoji1] [emoji1] [emoji1]
  7. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Naomba kueleweshwa kuhusu Iphone 6 na Iphone 6 plus

    Mhhhh,... Mkuuu una uhakika gan na usalama wa iphone while china washapenetrate iyo apple!!!! Pia washatengeneza hardware za kuweza kutoa lock
  8. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Waziri aliyesinzia mkutanoni auawa Korea Kaskazini

    Shubaamit.
  9. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho la hii simu, waungwana! Msaada tafadhali...

    Kaka kama hiyo cm haijadondoka wala kukandamizwa itakua na tatizo kwenye mashine ya ndani, hilo tatizo lipo kweny h7 na h6 pia, hapo labda upate cm nyingine kwa mafundi ambayo mashine iko poa then unareplace, jaribu hivyo mkuu then feed me back.
  10. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho la hii simu, waungwana! Msaada tafadhali...

    Ukiizima na kuwasha inawaka vzr then ndo inakua hivyo? Or ukiirestart bado mchezo ule ule?
  11. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Nini suluhisho la hii simu, waungwana! Msaada tafadhali...

    Model gan hiyo mkuu?
  12. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

    Au google gbwhatsapp,
  13. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

    Download app inaitwa disa, inapatikana playstore
  14. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania How can I watch EATV (Channel 5) live online

    Sina uhakika na bei ila unaweza tembelea duka lao
  15. Mwitu temboni

    JamiiForums Tanzania How can I watch EATV (Channel 5) live online

    Nunua startimes smartphone mkuu
Back
Top Bottom