Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

Nahitaji kutumia laini mbili kwa WhatsApp moja

Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa au kuelekezwa namna ya kutumia laini mbili za mitandao tofauti kwenye simu moja, mfano nipate sms zote za magroup ya laini hizo kwa muda mwafaka, natanguliza shukrani.
labda utumie lain moja kwa whatsap mbili mkuu [emoji12]
 
yaani mimi natumia smartphone ya line moja na kitochi lakini whatsapp zote zipo hewani zaidi ya miaka miwili sasa na meseji napata kwa wakati bila matatizo,wewe ndio unauliza leo?
ama kweli teknolojia imewachelewa sana mkuu!
 
Download app inaitwa Parallel Space ipo playstore...
 
Nenda playstore download app inaitwa parallel space the enjoy
 
Habari zenu wakuu, naomba kujuzwa au kuelekezwa namna ya kutumia laini mbili za mitandao tofauti kwenye simu moja, mfano nipate sms zote za magroup ya laini hizo kwa muda mwafaka, natanguliza shukrani.
Dowanload "parale space" utaweza kutumia kila accout double
 
Back
Top Bottom