New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,437
- 2,667
ndo maana sipend masimu ya betri built in....Inagoma kabisa, yaani hata ukireboot inaendelea kubaki hivyo mkuu!
ndo maana sipend masimu ya betri built in....Inagoma kabisa, yaani hata ukireboot inaendelea kubaki hivyo mkuu!
Naungana na wewe...ndo maana sipend masimu ya betri built in....
Kaka kama hiyo cm haijadondoka wala kukandamizwa itakua na tatizo kwenye mashine ya ndani, hilo tatizo lipo kweny h7 na h6 pia, hapo labda upate cm nyingine kwa mafundi ambayo mashine iko poa then unareplace, jaribu hivyo mkuu then feed me back.Ukiirestart inaendelea hivyo hivyo, halafu inakuwa ngumu kujua kama imezima kweli au lah! Maana ukibonyeza power botton screen inadisplay kama pic inavyoonesha! So ukiihold power botton kwa mda screen inaonyesha imejizima lakini ukibonyeza kitufe cha kupunguza au kuongeza sauti inadisplay hiyo mistar!
Pia hata kufanya hard reset haifai maana ukijaribu hiyo mistari inatokea!
Poa mkuu...Kaka kama hiyo cm haijadondoka wala kukandamizwa itakua na tatizo kwenye mashine ya ndani, hilo tatizo lipo kweny h7 na h6 pia, hapo labda upate cm nyingine kwa mafundi ambayo mashine iko poa then unareplace, jaribu hivyo mkuu then feed me back.
Iwe umenunua kwa mtu,au umenunua dukani,hela yako imeenda bure.Boom j8 mkuu...
Kwa hiyo mkuu, uwezekano wa kuibadilisha upo? Na gharama zake zipoje..Mbona ni wazi hapo display hkuna..ku restore wala ku reboot kama unavyoambiwa sio solution hapo.
Nilinunua dukani nlikuwa nawaza kurejesha maana waranty yake bado ninayo, hata sielewi ilipatwa nini maana nilitaka kuitumia baada ya kuitoa mfukon ndio ikaaleta hayo madubwasha!!Iwe umenunua kwa mtu,au umenunua dukani,hela yako imeenda bure.
Ulikuwa unaitumiaje simu yako mpaka ikawa hivyo.
Natumia sumsung sasa hivi!Karibuni Samsung jamani,no stress.
Kwakweli sijui wenzangu mnaotumia simu tofauti na Samsung au iPhone mnaemjoy vipi maisha ya smartphones.
Samahani lakini...ni ushauri tu.
[emoji126][emoji126][emoji126]
Duh hawa techo! Simu zao za msimu specification zao nzuri lakini majanga yake yakianza, inakuwa kopo kabisa!Tecno zinazingua xana,hata tecno c8 kama network imezingua hata haziwez tengeneza hata wenyewe tecno ukiwapigia tecno nigeria ndo zinakotengenezwa wanasema no any solution yet,ila hiyo mistari ni kioo
Uwezekano upo.... Ila sijajua gharama ya kioo chake.... Chakufanya nenda kariakoo nafikir utapata kioo.Kwa hiyo mkuu, uwezekano wa kuibadilisha upo? Na gharama zake zipoje..