Kwani wenyewe hoja yao ni mkataba kuvunjwa which hicho kitu hakiwezekani. Kama maboresho walishajibiwa yatafanyika.Hoja zao ni maoni kama maoni ya wengine sio masharti
Kuna dogo mmoja nilisoma nae ,alichangisha michango kwa ajili ya harusi yake. Siku mbili baada ya harusi akanipiga mzinga wa 50,nikamwambia dogo acha usen... kulikuwa na haja gani ya kujitutumua kwenye Sherehe sasa!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.