Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,327
- 7,465
Kuna umuhimu sana kununua kiwanja kilichopimwa na survey plan yake ni approved tayari wizarani
Kuna kampuni iliniuzia kiwanja kigamboni ambacho kina ukubwa wa 960sq, ila kumbe katika upimaji wao walikosea barabara walizibana sana nafkiri ni katika kutafuta faida kubwa zaidi
Sasa kimbembe kikaja walivyokua wanataka kuanza ku process hati walivyopeleka survey plan yao ikakataliwa ...ikabidi watumie surveyor mwingine kuja kupima tena
Walivyopima tena kiwanja changu kikapungua kutoka 960sq mpaka 835sq kutokana na kutanuliwa kwa barabara za mitaa. Ndo survey plan yao ikawa approved wizarani
Hivi viwanja vya siku hizi wauzaji wamekua wanapima kiholela bila kufuata taratibu zilizopitishwa wizarani , mwisho wa siku mtu ukija ku process hati unatumia gharama kubwa sana kutokana na makosa ya waliokuuzia kiwanja
Note:
Tuwe makini sana tunapotaka kununua viwanja hasa sehemu za miji