Jadili Hoja iliyoko mezani, weka ufahamu wako kuhusu Hoja ya bawa la ndege
Kuhusu mke wangu, mwanaume yoyote aliekamilika kukutana na matatizo ni sehemu ya maisha, hivyo kuandika ulivyoandika usijione mjanja, ni sawa na kumcheka mtu aliefiwa, mwenye kilio nyumbani kwake, maana yote hayo ni...
Ni nchi ngapi ambazo marekani ameshazivamia na urusi wala China hawakwenda?
Sijaelewa kwa nn sasa hivi jukwaa hili Kuna mazungumzo sana ya kuzipandisha hadhi Russia na China, hadhi ambayo hawastahili, hawa wawili bado ni regional powers, in any way hawawezi ku risk direct confrontation na...
Kupatikana kwa sehemu mbali mbali za mabaki ya ndege hiyo sio news tena mkuu, mabaki ya ndege hiyo yameshapatika sehemu mbali mbali ikiwemo kisiwa cha reunion, karibu na sheli sheli, pia Mozambique, kinachotafutwa kwa hamu kubwa sasa ni black box, ikipatikana hiyo ndio itakua news
Tatizo ni...
Ok, wengi tunachanganya mambo, iko hivi, hakuna mtu anafungwa let say kwa kutembea na binti wa 15, 16, 17 ambae hasomi Shule, huenda alimaliza la saba lakini hakufaulu kwenda secondary na yupo beyond 14 ina maana yupo mtaani tu
Sana sana, ukifuatilia kesi za namna hiyo utaona wengi...
Serikali ipo sahihi, Hapa serikali inazungumzia binti ambae hayupo shuleni, huenda alifeli au aliishia la saba, hana sababu yoyote ya kutoolewa iwapo Mchumba amepatikana, kinyume chake vijana watampiga mimba na atazalia nyumbani na kuwa mzigo kwa wazazi wake na taifa
Wapendwa hamjambo?
Mke wangu ni mhudumu wa hotel katika hotel ya kitalii, huwa anahamishwa kulingana na shift, siku nyingine kwenye mgahawa wa hotel hiyo na siku nyingine anakua kwenye vyumba.
Mimi ni mtu wa IT, ndoa yetu ina miaka miwili sasa na mtoto mmoja tuna mgogoro ambao umejitokeza wiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.