Is my wife dating someone else?

Is my wife dating someone else?

B haiwezi kuwa kweli, A inaweza kuwa kweli na C inaweza kuwa kweli au zaidi ya hapo kwa maana kwamba ni mtu wake sio kwamba wameanza katika miezi mitatu ya kutokuelewana. Ushauri wangu: kama kuna uwezekano, mtafute mume wa huyo rafiki wa mkeo umwulize kama ni kweli alinunuliwa hayo makitu, kumbuka kuwa vivyo hivyo ulivyoambiwa ipo siku huyo mume naye ataambiwa kama hivyo siku akifuma mambo mchanyato kwa upande wake.
 
Hoja yako ya msingi ipo katika maelezo ya msingi uliyoyaandika kwa lugha ya kiingereza hapo mwishoni.

Tambua siyo kila mtu anaelewa hiyo lugha kwa hiyo huenda ukakosa ushauri ambao ungekusaidia kutoka kwa wasiojua kiingereza.
inaonekana huyo ni mkenya ni kumvumilia tuu..
 
How are you guys? Hope you are doing well.

Friends, kwa hizi miezi tatu mimi na bibi yangu tumekuwa na ugomvi sana, but kwa wiki tatu sasa tumemaliza hizo shida zote, we are happy as a family, and we are not fighting anymore.

Two weeks ago, siku moja sikua na pesa hata a single coin, nika check kwa hand bag ya wife yangu niweze chomoa kile nitapata, sometimes kama sina pesa mimi huangalia bag ya wife kama kuna pesa let say kama kuna elfu kumi ziko kumi, mimi huchomoa elfu kumi 3 ya kuanzia siku, then nikikuja jioni nakuta amefura, narudisha elfu kumi sita, two times ya ile nilichukua.

So siku hiyo nilikua nikitaka kuchukua pesa kwa bag yake kama nitapata ziko, surprisingly, nikaona suruali ile wababa tunavaaga ndani wanaita boxer, ziko tano ziko packed pamoja mpya kabisa, anyway i said to myself may be amenunua zawadi yangu pengine Jana alisaau kunipatia, so atanipatia jioni, unfortunately vile naongea leo ni two weeks tangu siku hiyo sijapewa hizo boxer, na haziko tena kwa bag hiyo or anywere in our room.
So i decided to ask her about the boxers, my question caught her by surprise, and she had no immediate answer, akaniuliza uliona boxer kwa bag yangu? Nikaondoka bila kujibu lile swali.

Baadae she called me to say, ooh may be rafiki yangu aliweka hizo boxers kwa bag yangu bila kuniambia na kesho yake akachukua, she was referring to a friend huko kwa vicoba,Jioni rafiki yake akanipigia simu, i think on my wife's instructions, akisema ya kwamba '' shemeji ni mimi niliweka hizo boxers kwa bag ya bibi yako nilikuwa napelekea husband yangu gift i didn't buy that lie, vile nafikiri ni kwamba wamepanga hiyo uongo.

Now kindly advise me;

(a) Could it be that my wife was taking those boxers to her lover as gift?

(b) Is it possible that my wife's friend could put the boxers in the bag and then remove them the next day without my wife's knowledge?

(c) Do you think my wife engaged herself in an illicit affair during the three months of fighting?

My chest is burning with anger, Please advise accordingly


Yours faithfully
Dont buy taht shit at all she is dating someone else bro.Nothing of that kind happen by chance.My advice is dont rush to conclusions that can impact your family .Just take it with you and keep on investigate for sometime and get accurate evidence and come up with desicions.
 
My Kenyan bro...She is cheating. Me i have one principle...naamini kuwa kwenye ndoa huwa kuna mmoja mmyonge mmoja mjanja...kwa mwanaume ni bora uwe mjanja ili mkeo awe busy kukuchunga and not the other way round...do not bank your life to one woman...kuwa na mwanamke wa pili na uwe serious naye pia.....sitamfuatilia wife mkubwa maana niaatacha kuishi maisha yangu...ila akijionyesha wazi kuwa ana kachungwaa consrttate kwa mke mdogo baaasssss...akijua una mke mdogo hata kama kwa dalili hapo atakuheshimu sana na atashukuru ikiwa humdharau...pia kama wewe ni mukristo muweke wazi kiwa siku akimissbehave utatoka public na bi mdogo kwenye front pages...so she will be very careful na will compete to see kwamba she does not loose you.....

Ukiona mtu anagombana na mkewe ujue tu hana mke wa pili...

Yangu ni hayo tu..
Wewe unajitambua..hawa viumbe wanaitwa wanawake hawatakusumbua mkuu... and thats how we do....ukiona mtu anakuja humu mitandaoni kulialia kuhusu mapenzi ujue either kasoma academy or...kalelewa na mama yake.
 
We haiwesi amini bibi yako?? Kuweli iyo iko mbaya sana. Amini bibi yako kuwa hiyo boxer ni ya rafiki yake na sio kitu kingine chochote. Utakaa salama kwa sababu hata ukumwona, sasa, "may be, may be" za nini hapo? Hiyo iko sumu ya mapenzi
 
Huyo rafiki ya mke wako ni jini anaweka na kuchukua boxer bila kuonekana......majibu yake utata mtupu A & C yawezekana
 
Hugo bibi yako aise ana kijamaa pembeni wewe endelea kuchunguza utakuja jiridhisha
 
She is definitely seeing someone comrade!! Pole sana
 
hatkama angekua bkra..could be possible aswell. wngp wameolewa na machngwa na ndoa zao wamshndwa kuzchnga.
Hahaha! Mistari hii ilikuwa ya Sumalee bila shaka wewe utakuwa Nasmalee? Umenifurahisha...
 
A na C ndiyo majibu! Ila ukitaka amani ya moyo basi jibu ni B kaka...
 
Ulikua na ugomvi nae ndani ya miez3,,na hukutaka suluhisho xo baada ya yeye kupata amani na furaha huko nje ndo akaona bora muyamalize kwa kua yupo happy,,,jiongeze mkuu.lakini pia usipende kushika pochi yake mbona cc mnatukatazaga kushika wallet zenu??n way pole mana km kashapata sponsor umeula wa chuya
 
Mkuu siku ingine usipekue sana utakufa na presha
 
My Kenyan bro...She is cheating. Me i have one principle...naamini kuwa kwenye ndoa huwa kuna mmoja mmyonge mmoja mjanja...kwa mwanaume ni bora uwe mjanja ili mkeo awe busy kukuchunga and not the other way round...do not bank your life to one woman...kuwa na mwanamke wa pili na uwe serious naye pia.....sitamfuatilia wife mkubwa maana niaatacha kuishi maisha yangu...ila akijionyesha wazi kuwa ana kachungwaa consrttate kwa mke mdogo baaasssss...akijua una mke mdogo hata kama kwa dalili hapo atakuheshimu sana na atashukuru ikiwa humdharau...pia kama wewe ni mukristo muweke wazi kiwa siku akimissbehave utatoka public na bi mdogo kwenye front pages...so she will be very careful na will compete to see kwamba she does not loose you.....

Ukiona mtu anagombana na mkewe ujue tu hana mke wa pili...

Yangu ni hayo tu..
Na ukiona mke anagombana na mumewe ujue hana sponsor
 
Back
Top Bottom