muzi
JF-Expert Member
- Jun 17, 2016
- 1,046
- 1,473
How are you guys? hope you are doing well
Friends, kwa hizi miezi tatu mm na bibi yangu tumekua na ugomvi sana, but kwa wiki tatu sasa tumemaliza hizo shida zote, we are happy as a family, and we are not fighting anymore
Two weeks ago, siku moja sikua na pesa hata a single coin, nika check kwa hand bag ya wife yangu niweze chomoa kile nitapata, sometimes kama Sina pesa mm huangalia bag ya wife kama Kuna pesa let say kama Kuna elfu kumi ziko kumi, mm huchomoa elfu kumi 3 ya kuanzia siku, then nikikuja jioni nakuta amefura, narudisha elfu kumi sita, two times ya ile nilichukua
So siku hiyo nilikua nikitaka kuchukua pesa kwa bag yake kama nitapata ziko, surprisingly, nikaona suruali ile wababa tunavaaga ndani wanaita boxer, ziko tano ziko packed pamoja mpya kabisa, anyway i said to myself may be amenunua zawadi yangu pengine Jana alisaau kunipatia, so atanipatia jioni, unfortunately vile naongea leo ni two weeks tangu siku hiyo sijapewa hizo boxer, na haziko tena kwa bag hiyo or anywere in our room
So i decided to ask her about the boxers, my question caught her by surprise, and she had no immediate answer, akaniuliza uliona boxer kwa bag yangu? Nikaondoka bila kujibu ile swali
Baadae she called me to say, ooh may be rafiki yangu aliweka hizo boxers kwa bag yangu bila kuniambia na kesho yake akachukua, she was referring to a friend huko kwa vicoba,
Jioni rafiki yake akanipigia simu, i think on my wife's instructions, akisema ya kwamba '' shemeji ni mm niliweka hizo boxers kwa bag ya bibi yako nilikua napelekea husband yangu gift
i didn't buy that lie, vile nafikiri ni kwamba wamepanga hiyo uongo,
Now kindly advise me
(a) Could it be that my wife was taking those boxers to her lover as gift?
(b) is it possible that my wife's friend could put the boxers in the bag and then remove them the next day without my wife's knowledge?
(c) Do you think my wife engaged herself in an illicit affair during the three months of fighting?
My chest is burning with anger, Pls advise accordingly
Yours faithfully
Brother pole sana,
1. Haiwezekani mtu akuweekee kitu kwenye bag yako alafu usijue
2. Kwanini ulipomuuliza akashtuka...don't you see there is something???
3. Kwanini ilichukua muda kwa shoga yake kukupigia, why hakusema hapo hapo tumpigie somebody labda yeye ndo aliniwekea
4. Inawezekanaje kitu kimekaa kwenye mkoba wako 4 days alafu unasema mbona sijaona?
5. Kwa wanawake mokoba ni itu muhimu sana, lazima ujue vitu vyote ambayo unabeba, bado haiingii akilini you don't know what are you carrying, mbona ukichukua hela anashtuka?
You need to take VERY CLOSE FALLOW-UP kuna ushahidi mkubwa unaibiwa brother
Hiyo technique ipo sana, nilishawahi kumkomboa best yangu kwenye ndoa yake kwa kitu close na hii ya kwako. Ila sikushauri kuvunja ndoa yako.
Cha msingi kaaa china tafakari na tafakuri WHY wife anatoka nje mpaka anahonga ma-gift yawezeka hajawahi kukuletea zawadi kama hiyo. Jitathimini yawezeka ukawa kikwazo au una tatizo dogo fulani. Baada ya hapa weka plan of ACTION on how to handle.
Pia kumbuka kumwacha mke sio suluhisho, ukizingatia hakuma binadamu mkamilifu on earth!
Best wishes na tudumishe ndoa zetu!!