North Korea fires ballistic missile into Japanese waters

Mkuu we unaongelea vita iliyotokea miaka 70 iliyopita enzi hizo computer zipo chini ya tano dunia nzima na zina size kubwa ka nyumba. Korea ya kaskazini ni nchi moja maskini tu ambayo imepoteza hela yake yote kwenye military, GPD yao yenyewe ni $40Billion, yaani hadi Tanzania inaGPD zaidi ya mara tatu, thats not enough money ya kutisha taifa kama US ambalo linamwaga $600B kila mwaka kwenye military alone, hiyo ni mara 15 ya gdp ya NK inaenda kwenye military peke yake. Vita ikitokea there's no way South Korea itachapwa, one reason they are very strong, wana military si mchezo, kwa kua huwasikii usiwa~underestimate hawa jamaa, wana defense na attack systems decades ahead ya systems walizonazo north korea, hizi ballistic missiles wanazorusha to almost 1000Km sio kitu kama mass yenyewe wanayobeba ni ndogo, they can simply be put down kabla hazijafika popote, angalia Israel na Palestine walivyokua wanapigana missles za palestine zilizovyokua zinaangushwa utadhani wanacheza kombolela, sababu nyingine South Korea ina msaada wa US, US iko tayari kuwa~back down any time. There's no way North Korea atafanya chochote, ni majigambo tu, na sababu miaka yote hiyo hajafanya chochote ni kwa kua anajua kabisa akijaribu ataumia, anabaki kupiga biti tu kueneza propaganda zake kua ana nguvu kumbe wapi.

Nitakwambia jambo moja tu: Kama kweli North Korea ingekuwa haina lolote kijeshi, Kulikuwa hakuna sababu kwa Marekani kuendelea kuwa na askari wake 30,000 kule South Korea...Halafu, kitu kingine ni kuwa hivi unafahamu kuwa North korea na South Korea technically bado ziko vitani???? Vile vita vya miaka ya 50 havikwisha, vilisimama tu kwa muda....Naendelea kuwashauri watu kama nyie someni habari na propaganda za nchi za magharibi kwa umakini, na kwa udadisi zaidi...
 
hawawezi kamwe,,,na kama wangeshaweza wangeshafanya,,kwani wameanza vituko leo,,,shida moja nyuma yake yupo mchina na mrusi,,mchina ndo atabeba wakimbizi na Russia,,so hakuna hiyo kitu,,,mjapani kwanza hana jeshi la vita labda us na korea kidogoo
Ni nchi ngapi ambazo marekani ameshazivamia na urusi wala China hawakwenda?

Sijaelewa kwa nn sasa hivi jukwaa hili Kuna mazungumzo sana ya kuzipandisha hadhi Russia na China, hadhi ambayo hawastahili, hawa wawili bado ni regional powers, in any way hawawezi ku risk direct confrontation na marekani, Russia ikajiingize kupambana na marekani sababu ya North Korea? Hivi mnaelewa kuwa unapozungumzia Russia /China Vurses America ni world War three hiyo?

Russia anaweza kuingia kwenye vita ya moja kwa moja na marekani kwa ajili ya kujitetea yy mwenyewe, kwanza ana matatizo yake yy mwenyewe, kila kukicha anazungukwa na NATO, majirani zake wanaendelea kujiunga na NATO na kumkaribia kila kona, sasa leo hii akasaidie mtu mwingine?

China nae ana matatizo yake binafsi, mgogoro uliopo South China Sea ni headache tosha kwa China, marekani karundika silaha za kutosha eneo hilo kuanzia pamoja na washirika wake, China anatafuta namna ya kumaliza huo mgogoro, Leo hawezi kuingia kwenye mgogoro usio mhusu moja kwa moja, vita ya kwanza kati ya hizi Korea mbili China hakuangaika kuingilia mgogoro huo, hata sasa hatahangaika nao
Utawala wa Obama haujawahi kuwa na Mpango wa kuipiga North Korea, hakuna sababu ya kufanya hivyo, na hata Marais wajao wa marekani hawatafanya hivyo, labda tu North Korea ianze yenyewe kushambulia South, na North wana akili timamu, zaidi ya vitisho tu North imeshindwa kutekeleza vitisho vyake, wanajua ndio utakua mwisho wa utawala wao
Walisema watashambulia kusini kujibu mazoezi ya kijeshi ya pamoja kati ya marekani na South Korea, mazoezi yaliisha hakuna alichofanya, ametoa vitisho vingi sana mwaka huu bila kuvitekelza

Tukirudi kwa Russia, hata Syria, Russia aliingia pale Kutokana na marekani kukosa sera maalum, Russia aliziba ile vacuum, au ombwe lililokuwepo, waasi hawasongi mbele wala govt haiwashindi waasi, kukawa na Hali ya stalemate, ndipo Russia akaingia kumsaidia assad
Lakini kama marekani angeamua kumtoa assad kwa mabavu, ni siku nyingi sana kazi hiyo ingekamilika, tena tangu 2013 kabla hata urusi hajaenda hapo, ni urusi iliyoibembleza America mwaka 2013 kutoichapa Syria kijeshi in return, Syria ikakubali kuteketeza silaha za kemikali ndipo marekani ikaachana na maandalizi ya kumuondoa assad

Kuna watu wanachanganya madawa, lets make no mistake, kampeni ya Marekani ndani ya Syria ni dhidi ya daesh, hata siku moja marekani haijawahi kutupa bomu au kushambulia ngombe za serikali, vita iliyopo Syria ni kati ya serikali na waasi

Mataifa haya makubwa hayawezi kuingiliana kwenye maslahi yao, mifano mizuri ni Ukraine na Georgia, marekani haikujishughulisha kuzitetea nchi hizo kwa hofu ya kuingia kwenye direct confrontation na Russia, the same way Russia haiwezi kujiingiza mahali ambapo marekani inamtandika mtu kwa hofu hiyo hiyo ya ku avoid direct confrontation

Mengine yote niliyosoma humu ni exaggeration tu na sio reality
 
Naona kuna kaushabiki kanaendelea,lakini ukweli ni kwamba hata huyo Marekani huwezi kurisk kuingia vitani na North Korea saivi,Marekani na ujanja wake wote hajui North ana uwezo kiasi gani wa kivita,kuna watu wanasema etu Korea ni maskini,hivi mnawajua maskini kweli,nchi inayojitengenezea kila kitu chake unaiita maskini etu kisa Marekani kasema.hapo hakuna vita ni maneno tu,mkorea hajaanza leo ukorofi na hatoacha leo
 
thanks but summarize ya point in few lines,,,cant read this too big,,,in short hakuna maslahi NK
 
Usiunderestimate mjapani kiasi hicho, according to CIA wamewapa Japan nafasi ya 7 duniani kwenye nguvu ya kijeshi, airpower zaidi ya 1,500. North Korea hawafikishi hata 200. Aircraft carriers wanazo 3, North korea hata 1 hawana, bado Defense budget japan inamwaga $40Billion kwenye military kila mwaka, hiyo ni sawa na GPA nzima ya North Korea. Kwa hiyo hata Japan peke yake anamuangusha mnorth vizuri tu, tena alivyo mbali atamchapia hewani tu.
hawarushusiwi kuendeleza jeshi since the NUK times na iko kwa katiba yao ndo sasa NK kawazingua wanataka badili sheria
 
Nchi ambayo hata kulisha wananchi wake ni tabu ndio itaweza kupambana na US au JAPAN?
 
hawa jamaa wanafanya test za ballistic miaka hii na kelele kibao//wenzao walishates miaka ya 60 huko zipo tu znatafuta mtu ajipendeekeza
 
Siyo rahisi kiasi hicho kama unavyodhani....Hivi unafahamu kuwa katika vita vya miaka ya 50 North korea nusura iikamate South Korea??? Korea ya Kaskazini ni nchi ya hatari katika mambo ya kijeshi...wachambuzi wa masuala ya kijeshi wanasema kuwa ni kweli kama vita ikitokea Korea kaskazini inaweza kufutika lakini wakati huo huo Korea kusini nayo inaweza kufutika pia, sasa hapo ndipo mtihani ulipo...tusikimbilie kusoma habari na propaganda za nchi za magharibi peke yake, tudadisi undani wa habari na propaganda hizo huku pia tukisoma habari na propaganda za nchi nyingine....
mkuu South Korea ya sasa si ya mwaka 1950.
Kwa sasa ina jeshi zuri mno, na la kisasa ajabu, hatuombei Vita ila endapo ikitokea, North Korea haitaamini kichapo itakachopata.
kumbuka hakuna atakayeisaidia North Korea.
China haiwezi kukubali kuingia matatizoni na US, Japan pamoja na UK ambao ni trade partners wake, labda Kama mipaka yake itahatarishwa.
 
Duh...Ndugu yangu, vita huwa havipaganiwi au kupiganwa midomoni...Na usidanganyike na kudhani kuwa vita ikitokea North Korera haiwezi kusaidiwa...Mambo ya vita, geo politics na mahusiano ya kimataifa hayaendi hivyo...
 
US ni kama world police, yeye yupo tayari kuingilia kati anytime nchi yoyote ile, North Korea unajua inapiga hizi biti kuonyesha kiburi kwa UN, so if anything goes wrong UN ndio itakua ya kwanza kureact, na wote tunajua top players wa UN huwezi kuiacha US, na istoshe jamaa wana military bases zao zipo South Korea, kulaunch attack ni kitu wanaweza kukifanya ndani ya dakika chache sana.

Korea kaskazini hua ni biti tu ila hawana high tech yoyote ile, usicheze na mmarekani tafadhali, wale jamaa ni level nyingine kabisa, kuna secret projects nyingi walizonazo huwezi kuamini, marekani hata akipigana na dunia nzima atasurvive muda mrefu kabla ya kuanguka, nuclear warheads alizonazo zinazidi 7000, ambazo ziko ready kudeploy anytime zinaweza kua in hundreds, North Korea ambayo inasadikika wana chini ya 3 unadhani wakisema waende nuclear watasurvive? alafu still North Korea bado hata technology ya kurusha nuclear masafa marefu hawana, ingekua wanaipiga Seoul labda, ila kuisafirisha mbali its not possible, hata Busan iliyopo South Korea yenyewe bomu halifiki, hata kwa msaada wa China kitu ambacho hakiwezekani maana china naye hapendi sanctions from the UN. Kwa level waliyopo sasa hivi, South Korea peke yake anaweza mchapa North Korea vizuri tu bila hata msaada.
Hizo unazosema "kuna secret projects nyingi zinaendelea USA" umezijuaje Wewe ambaye ni mtu Wa kawaida kabisa as long as these issues are regarded?
 
leo mmarekani anahangaika kufunga THAAD huko south korea halaf kuna vijitu vinabeza silaha za North kana kwamba wanambeza mmarekani anafunga THAAD for empty tent .

think you shold your *** up guys.
 
Mkuu we unaongelea vita iliyotokea miaka 70 iliyopita enzi hizo computer zipo chini ya tano dunia nzima na zina size kubwa ka nyumba. Korea ya kaskazini ni nchi moja maskini tu ambayo imepoteza hela yake yote kwenye military, GPD yao yenyewe ni $40Billion, yaani hadi Tanzania inaGPD zaidi ya mara tatu, thats not enough money ya kutisha taifa kama US ambalo linamwaga $600B kila mwaka kwenye military alone, hiyo ni mara 15 ya gdp ya NK inaenda kwenye military peke yake. Vita ikitokea there's no way South Korea itachapwa, one reason they are very strong, wana military si mchezo, kwa kua huwasikii usiwa~underestimate hawa jamaa, wana defense na attack systems decades ahead ya systems walizonazo north korea, hizi ballistic missiles wanazorusha to almost 1000Km sio kitu kama mass yenyewe wanayobeba ni ndogo, they can simply be put down kabla hazijafika popote, angalia Israel na Palestine walivyokua wanapigana missles za palestine zilizovyokua zinaangushwa utadhani wanacheza kombolela, sababu nyingine South Korea ina msaada wa US, US iko tayari kuwa~back down any time. There's no way North Korea atafanya chochote, ni majigambo tu, na sababu miaka yote hiyo hajafanya chochote ni kwa kua anajua kabisa akijaribu ataumia, anabaki kupiga biti tu kueneza propaganda zake kua ana nguvu kumbe wapi.
Lakini mbona hata South Korea wanapiga kelele Mara nyingi sana? Wanaopiga kelele siyo north Korea tu...hata SK na Japan vilevile wanahaha. Maana kama unaweza kumpiga Fulani...na uwezo na sababu unazo, kwa nini ulete maneno mengi? Propaganda tu hizi.
 
Usiunderestimate mjapani kiasi hicho, according to CIA wamewapa Japan nafasi ya 7 duniani kwenye nguvu ya kijeshi, airpower zaidi ya 1,500. North Korea hawafikishi hata 200. Aircraft carriers wanazo 3, North korea hata 1 hawana, bado Defense budget japan inamwaga $40Billion kwenye military kila mwaka, hiyo ni sawa na GPA nzima ya North Korea. Kwa hiyo hata Japan peke yake anamuangusha mnorth vizuri tu, tena alivyo mbali atamchapia hewani tu.
Na haohao CIA wanaotoa ranking za majeshi ya mataifa mbalimbali, wanaosema USA ndiyo inayoongoza duniani...mbona vikundi vidogo tu vinamhenyesha kule Iraq na Syria ? Na Russia ilingia last year na matokeo yake nimeyaona, wakati hao USA led coalition wametumia MIAKA kadhaa lakini hakukia na matokeo chanya kama ya Russia ndani ya muda mfupi. Propaganda tu hizo.
 
Nitakwambia jambo moja tu: Kama kweli North Korea ingekuwa haina lolote kijeshi, Kulikuwa hakuna sababu kwa Marekani kuendelea kuwa na askari wake 30,000 kule South Korea...Halafu, kitu kingine ni kuwa hivi unafahamu kuwa North korea na South Korea technically bado ziko vitani???? Vile vita vya miaka ya 50 havikwisha, vilisimama tu kwa muda....Naendelea kuwashauri watu kama nyie someni habari na propaganda za nchi za magharibi kwa umakini, na kwa udadisi zaidi...
Na kwa kuongezea, North Korea wangekuwa si kitu, USA asingehangaika kuweka huyo "THAAD".
 
Naona kuna kaushabiki kanaendelea,lakini ukweli ni kwamba hata huyo Marekani huwezi kurisk kuingia vitani na North Korea saivi,Marekani na ujanja wake wote hajui North ana uwezo kiasi gani wa kivita,kuna watu wanasema etu Korea ni maskini,hivi mnawajua maskini kweli,nchi inayojitengenezea kila kitu chake unaiita maskini etu kisa Marekani kasema.hapo hakuna vita ni maneno tu,mkorea hajaanza leo ukorofi na hatoacha leo
Yeah....Kweli Kanisa; maana wao wenyewe wanasema ni vigumu kupata taarifa za North Korea , lakini hawa pro-US wanapiga kelele za ushabiki humu.
 
Hizo unazosema "kuna secret projects nyingi zinaendelea USA" umezijuaje Wewe ambaye ni mtu Wa kawaida kabisa as long as these issues are regarded?

Rahisi sana mkuu, kwa sababu nyingine zilikua secret projects ambazo wakaja kuzileta public nyingi tu, doesn't that mean wanaendelea na secret projects nyingine? Its so obvious, hata kwenye habari utasikia DARPA is working on project X, they won't tell you what it is. Ila its always something revolutionary, tumeona baadhi ya vitu ambavyo wametengeneza miaka ya nyuma.
 
Na haohao CIA wanaotoa ranking za majeshi ya mataifa mbalimbali, wanaosema USA ndiyo inayoongoza duniani...mbona vikundi vidogo tu vinamhenyesha kule Iraq na Syria ? Na Russia ilingia last year na matokeo yake nimeyaona, wakati hao USA led coalition wametumia MIAKA kadhaa lakini hakukia na matokeo chanya kama ya Russia ndani ya muda mfupi. Propaganda tu hizo.

Hehehe mkuu seems like u really hate the US, ila hate them or love them, bado ni #1, labda litabadilika in the future ila not in the near one. We unaona kama propaganda ila ukubali ukatae their reach is so huge, wana military bases nyingi kuliko any country in the world, zimesambaa dunia nzima, kuinitiate an attack at any strategic point ni kitu they can do very quickly than any other country. Wana alliance kibao unlike any other military, hate the US mkuu ila ukweli utabaki kua ukweli.
 
Lakini mbona hata South Korea wanapiga kelele Mara nyingi sana? Wanaopiga kelele siyo north Korea tu...hata SK na Japan vilevile wanahaha. Maana kama unaweza kumpiga Fulani...na uwezo na sababu unazo, kwa nini ulete maneno mengi? Propaganda tu hizi.

South Korea wamepiga kelele zipi? em nipe mfano moja, South Korea ni wapole sana, wanajaribu kila njia kuepuka mapambano na North Korea, wengine hadi wanatafuta njia za kuunganisha hizi nchi mbili zirudi kama zamani japo najua kwa hali ya sasa its next to impossible. Hizi military drills wanazofanya South Korea na US army kila mwaka sio kupiga kelele, ni mazoezi ya kijeshi kama ambavyo Tanzania hua mara kadhaa inafanya na nchi baadhi kama ilivyokua case ya Tanzania-Iran juzijuzi. Na Japan hata tusimuongelee, yule ndio hana muda na mtu kabisa, hadi nuclear program waliizuia ila doens't mean they can't handle nuclear, ni moja ya most advanced countries in technology they could do anything they want.
 
Back
Top Bottom