JamiiForums Tanzania
Inakera
Kuna mambo wanakikundi ni lazima tuwekane sawa, imeniuma sana na hata jana nilitaka niwapigie wanagroup niwaeleze waangalie hili swala linaweza kukomeshwa vipi. Mimi naamini kundi liliundwa kwa nia nzuri tu ya kusaidiana katika shida na raha na hata kushirikiana kufanya maswala ya kimaendeleo...