Recent content by Mwigowe

  1. M

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Nafkir sasa tunarudi kama zamani, japo kipindi kile form za kujiunga na vyuo tulipanga foleni tukiwa na Results slip, cheti cha kuzaliwa ilikuwa sio mchezo, na kulikuwa na kigezo cha kupata hizo Principal Pass kama ni C mbili wanakwambia "attained at the same sitting" heshima inakuja vijana...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ina mpango gani kwa RFU (Returned From UDOM)?

    Waendelee kusubir tu sidhani kama serikali inalengo la kuwaacha nafkir inatafutwa njia bora zaidi ya wao kusoma maana hata Kama wangeendelea kuwepo chuoni ilihali walimu wao hawafundishi bado isingekuwa na maana wavute subira!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tumshauri Dr. Joyce Ndalichako

    Hilo tatizo mkuu ni changamoto, linafanana na waliojiendeleza fani tofauti na walioajiriwa nayo, ila ni suala la muda tu litapatiwa ufumbuzi, ila hujatoa alternative maana kwa grade A mtu alipandishiwa mshahara ipasavyo kulingana na muda aliokuwepo kazin, sasa Degree ndio umeipata sasa huwez...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mrema asema hajutii kumnadi Rais Magufuli

    Angalau lakini amajitambua hakujiweka kwenye list ya viongozi waadilifu na wazalendo maana amewataja Jk Nyerere, Sokoine na JPM
  5. M

    JamiiForums Tanzania Coaster za Mbeya - Dar@Hakuna Kulala

    Mtoa uzi amezungumzia upande mmoja tu wa madhara yanayoweza kupatikana, je anatamani wamiliki wa coaster hizo wapate vibali ili waendelee kusaidia abiria hao wanaotumia huo usafiri au anataka wabanwe waache hiyo biashara?
  6. M

    JamiiForums Tanzania TB Joshua ni mgeni wa nani nchini Tanzania?

    Kwenye utambulisho nimemskia Aliko Dangote tu au yeye alikuwa mgeni wa kawaida tu?
  7. M

    JamiiForums Tanzania Sitta: Nikikatwa uspika nitakimbilia mahakamani kufungua kesi

    Huyo anakazi hakuimalizia wanaweza kumpitisha akamalizie katiba Mpya!
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela hajakata tamaa, kupinga ubunge wa Msigwa Mahakamani

    Dah anapoteza muda wake tu, ccm wamepishana na nyakati, madiwani Cdm 14 na ccm 4 inaonesha hali halisi, Ila ni haki yake kikatiba
  9. M

    JamiiForums Tanzania Halmashauri zitakazokuwa chini ya UKAWA

    Dah mkuu yaani bora kuachia ngazi unamaanisha kujiuzuru udiwani kuliko kutokuwa mwenyekiti wa halmashauri, iliwa madiwani wa chama chake ni wachache sioni atapataje huo wenyekiti, huko ni sawa na kusema leo kambi ya upinzani ipiganie ipate spika kutoka upande wao.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Re:Zinatafutwa Hekta 4 - 5 ufukweni Ziwa Nyasa

    M 'the
  11. M

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kazi na kutolipwa mshahara kipindi cha probation period.

    Dah pole boss hizo ndo changamoto za ajira, nimepata matatizo yanayofanana ma hayo mimi sijapewe barua ila mwajiri hanilipi wala hanipatii vitendea kazi in short amenifukuza bila kusema mbaya zaidi mwajiri ni shirika la dini nikaenda CMA huwezi amini mwajiri amenikana kuwa sio mtumishi bali i'm...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Boss hiyo kali wiki nzima mapumziko sijui itakuwaje maana kila kukicha siku za kuabudu zinaongezeka baadae watakuja wengine watasema tulale mchana kazi usiku na mgao wa umeme sijui itakuwaje?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Maaskofu kuipelekeka serikali mahakamani kuhusu kuchinja nyama

    Dah waungwana kweli tuendako si kuzuri, Imani zetu zikitumika hivyo basi tena itafikia kipindi hata mahoteli, mashule, mabasi mmiliki niwa dini gani? JE NA SAMAKI ACHINJE NANI? Je ni kweli kwenda Mahakamani ni suluhisho? Ya kaizari tumpe kaizari tutathmin ni wapi tulipojikwaa tukaanguka..
Back
Top Bottom