Hizi gar ni msaada sana.km umekuja zako dar ijumaa kwa kujiiba bila likizo,bc j2 unapanda zako saa 9 jioni mpk asbh uko mbeya na unawahi ofcn km kawaida.ww huoni km ni msaada tosha?kwani ww umepanda kwa ajili ya kulala au kusafiri?na pia hakuna aliyelazmishwa bali wenye haraka zao na shida za usafir ndo wanazifata.