Serikali ina mpango gani kwa RFU (Returned From UDOM)?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,522
24,010
Nimekuja kuuliza swali hili kutokana na hali niliyo waona nayo madogo flan Mtaani. Hawa walikuwa ni lile kundi la 7008 TOKA UDOM ambao sasa wamezagaa sana mtaani. Hawa mabint wamekata tamaa na mmoja analalamika sana kuwa hata chanzo cha yeye kusoma shule..... Aliitaja ni kuwa waliahidiwa kuwa lazima watapelekwa chuoni iwe iweje kwa kuwa lengo kubwa ni kuwasaidia.

Nikakumbuka pia aina ya wanafunzi wanaofanana na hao walipelekwa chuo cha utumishi wa umma mwaka 2010-13 kama sikosei mkoa flan. Bahat nzuri wale walifanikiwa kusoma ila shida ikaja kuwa kupata ajira sehemu binafsi ikawa shida kwa kuwa weng wao walionesha uwezo mdogo.

Bahat kwa wengine walipata serikalin na baadh ya makampun na walio na bahat zaidi waliajiriwa NSSF. Mungu saidia sasa wana ajira maisha yanasonga.

Sasa serikali tuikumbushe hawa RFU kuna mpango gan unaendelea? Wasisahauliwe jaman tena ukichukulia na Bunge lenyewe ndo hivyo. Au hili nalo litapita?
 
Ama hakika ni simanzi sana, ngoja tuendelee kusubiri Bwana. Serikali watatusaidia tuu.
 
Waendelee kusubir tu sidhani kama serikali inalengo la kuwaacha nafkir inatafutwa njia bora zaidi ya wao kusoma maana hata Kama wangeendelea kuwepo chuoni ilihali walimu wao hawafundishi bado isingekuwa na maana wavute subira!
 
Back
Top Bottom