ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,705
Mmesahau Songea maana madiwani wa cdm ni wengi kuliko ccm
acha uwongo wewe. ccm wana madiwani 17 , chadema madiwani 4. za kuambiwa changanya na zako
Mmesahau Songea maana madiwani wa cdm ni wengi kuliko ccm
Mwenye matokeo ya kata Mtwara na Lindi
Dah! niliona sehemu wanasema zinafika 22 si haba.
Nafikiri baraza la madiwani linauwezo wa kumkataa mkurugenzi au kutoshirikiana naye.Kama kungekuwa na Utaratibu kuwa Wakurugenzi wa Halmashauri za wilaya na miji wanaomba kazi kupitia Halmashauri hizo na Wanajadiliwa na Madiwani husika kabla ya ajira kwa manufaa ya Halmashauri zenyewe basi kwa vyovyote halmashauri hizi zilizo chini ya Vyama vya upinzani lazima zingepata maendeleo makubwa.
Tatizo mara nyingi hao Wakurugenzi wanateuliwa na Waziri na mara nyingi wanapelekwa kwenye halmashauri za upinzani wale wenye hulka ya kuweza kupambana na madiwani. Kwa maana hiyo hawaendi kufanya kazi za maendeleo bali kusudio ni mapambano. Umefika wakati sasa Halmashauri zipewe mamlaka ya kupata Wakurugenzi wake kwa vigezo vitakavyo wekwa na sio kuletewa majizi na wale wanaokuja na ajenda zao ikiwemo ile ya lazima "kumtoa Waziri Mkuu na waziri Tamisemi" kwa fungu maalum
Pia Arusha Mjini, Arumeru Magharibi, Monduli, Babati Mjini, Simanjiro, Longido, Loliondo
Kuna kwenye idadi halisi ya halmashauri zitakazo ongozwa na upinzani.