Recent content by Mwenekazi

  1. M

    Ushauri: Mwanamke aliyekuwa anakuja kutoa gesi mbele yangu nime sign-in kwake

    Ha ha ha nmecheka mno hii stori yako we jamaa ni story teller mkali mno
  2. M

    Je, Redio Free Africa na Kiss Fm zitasimama tena?

    Kweli aisee RFA na Kiss zamani walikuwa moto wa kuotea mbali,sijui clouds sijui takataka gani walikarishwa mno na hizo radio kutoka kanda ya ziwa. Diallo alikosea mno kubweteka na kutokuwajali wafanyakaz wake . In those days I miss Lazaro Matalange,Claudia Mayanka,The rocker,joakim...
  3. M

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Dogo unadhalilisha tasisi ya uanaume. Huo sio upendo hta kidogo umeonyesha udhaifu mkubwa,lkn kuteleza sio kuanguka uufanyie kazi ushauri wa kukupanua mawazo uliopewa na Sarah humu.
  4. M

    Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Huu upuuzi ina maana mikopo wanasitisha kutoa?
  5. M

    Post kama Polepole: Hongera CCM mpya, CCM madhubuti

    Mwaka huu hakuna increment,hizi ni juhudi na matunda ya CCM mpya [#postlikepolepole]
  6. M

    Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Nielimishe mkuu hapo huwa sielewi kitu wanaposema UK hawana katiba
  7. M

    Mabinti yapeni thamani maisha yenu

    Wasalaam wana MMU, huwa nachungulia tu hili jukwaa ila leo nmepata uvuvio wa roho mtakatifu kutiririka yangu machache. Mosi ni hii tabia yenu mabinti wengi kupenda penda tu hovyo hovyo msipopendwa. Hili suala nmeliona mara kadhaa kwa hawa mabinti zetu kupoteza muda wao mwingi kwa watu wasio...
  8. M

    Kitabu cha Yericko Nyerere 'Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi' chaingizwa Library of Congress Marekani

    Kuna watu wapumbavu humu kazi ujuaji tu kitabu kweli kipo kwny hiyo library
Back
Top Bottom