TANZIA Mtangazaji Violet Mzindakaya amefariki

Hii chuki ya Uvyama naona inauwa utamaduni wetu. Hivi tumefikia hatua ya kutoa kebehi kwenye msiba kisa vyama? anyway wenyewe wmeamua hivyo lakini sio ishara nzuri
Rais/mwenyekiti wa ccm aliwaonya wabunge wa ccm wasijaribu kwenda kumjulia hali mbunge mwenzao wa chadema aliyekuwa gerezani!ndiyo utanzania huo? Mheshimiwa Nyalandu ametukanwa matusi mengi tu kwa kwenda kumtembelea Lissu hospitali,hiyo ni sahihi?juzi Mbowe kaenda msibani arusha mkasema ameenda kwa kuwa marehemu alikuwa hawara yake,hiyo sawa? Poa!! Kwa hiyo akifa Wa kwenu tulie wote ila akifa wa kwetu nyie mnachekelea! Huo utanzania munaujua nyie tu! Una wabeba nyie tu?
 
Hivi Mkuu eti kati ya hawa wapiga Magitaa ' maarufu ' ya Solo wa Kikongo Diblo Dibala na Dally Kimoko ni nani unaona labda yupo juu na mahiri kuliko mwenzake?
Ebanaee Diblo anatisha!! Lakini hamfikii yule mcharaza rythm wa Katitu!unaikumbuka?ewaa sasa pale nyuzi ilikuwa inakungutwa hadi inapata moto!inapoozwa na maji kisha ngoma inaendelea!hatari sana ile!! Ila taratibu mkuu tupo msibani!!
 
Hapana Mkuu Mimi naona Dally Kimoko ndiyo balaa kwani akilipiga Gitaa lake unaweza ukalisikia na kulicheza kutoka Uwanja wa Taifa hadi Rukwa, Mnazi Mmoja hadi Sumbawanga na usilichoke kama ambalo Diblo Dibala analipiga japo hata Yeye nae ni mahiri.
 
Wetu sote
 
Back
Top Bottom