What is special about cannabis sehemu ya pili (2)

What is special about cannabis sehemu ya pili (2)

diffrent-between-female-and-male-cannabis-plants.jpg
 
kuna picha nime post time ago inaonesha tofauti za miti yake ila sasa huwezi kujua tofauti ya miti kama ikiwa imechambuliwa hapa kwetu wanapanda miti yote pamoja wakati wa uvunani inavunwa pamoja hapo ndio wana mix zote ila kama unaweza unaweza panda hii mmea alafu unakuwa unatofautisha aina yake ila kuna pia kuna vitu vingine hapa itabidi ujifunje kuja difference ya male & female plants. kwahiyo itakubidi uanze kufatilia tofauti zake kwenye source mbali mbali ktk network.
Asante mkuu
 
Kuna baadhi ya sehemu ya uzi wako umeweka tafsir ya google ambayo umegharibu mantiki ya mada
 
Kifupi me bangi imeniletea matatizo madogo yafuatayo
Kuwashwa kwa koo na sikio
Kukauka midomo
Ngoz kuwa mbaya
Lakini kiakili hakuna tatizo lingine kwa hiyo sitaacha kuitumia kwa sababu maisha ni zaidi ya ngoz,macho,masikio
Na hapo bado sijawapa faida yake upande wa kiroho,acha niendelee kufurahia naujua ukweli
jichunguze kwa upande wa ini na figo
 
jichunguze kwa upande wa ini na figo
kivipi mkuu maana hapo unapo zungumia kila organ moja ina kazi yake ini linafanya transformation ya hizi chemicals na figo inafanya elimination ya hizo chemicals na pia kuna new studies inaelezea faida za cannabis kwenye ugonjwa wa ini (includes liver scarring (cirrhosis) and fatty liver disease (FLD) liver damage cannabis inapromote uzalishaji wa cell mpya katika ini ambalo limepatwa na magonjwa kama mashambulizi ya virus na bacteria ndani ya ini mwaka jana jamaica imetangaza dawa ya hepatitis B ila dawa hiyo imetengenezwa kwa mmea almaarufu bangi. Cannabis unlike other drugs especially paracetamol which is highly toxicity to these organ sikatai kwamba kuna complication ya cannabis katika ubongo ila kama umepitia pharmacology utaona kuna dawa ambazo zinaact kama agonist na antagonist ambayo agonist inaenda kuamsha receptors ifanye kazi biologically na antagonist inaenda kuzuia ile kazi ya receptors mfano hypersensitivity wengi tunaita allergy hii inatokana na receptor ya histamine kuwa activated na unknown chemicals kwahiyo inafanya response ya kulinda mwili na kitu ilikuwa introduced ila tunapotumia dawa kama lolatadin au cetirizine inaenda kuzuia hiyo response ya histamine same to THC ambayo ni psychoactive katika mmea bangi inapoenda kufanya kazi katika receptor ya CB type one inaact kama agonist ila utapotumia black pepper amabayo ina terpenoid simiral to that of cannabis but differ in action (antagonist) inataenda kupunguza response ya thc katika receptor hiyo.
#awake up
 
Kifupi me bangi imeniletea matatizo madogo yafuatayo
Kuwashwa kwa koo na sikio
Kukauka midomo
Ngoz kuwa mbaya
Lakini kiakili hakuna tatizo lingine kwa hiyo sitaacha kuitumia kwa sababu maisha ni zaidi ya ngoz,macho,masikio
Na hapo bado sijawapa faida yake upande wa kiroho,acha niendelee kufurahia naujua ukweli
kula chakula wewe unavuta tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom