Recent content by mwene jnr

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania May Increase Borrowing to Fund Budget After Aid Cut

    Soma mkuu hiyo kitu acha ukereketwa, usigombane anayekuamsha jisaidie ili mungu akusaidie
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wakati wa mimi kusema umefika

    Sio kwa mti bali anapima maji kwa uume wake! ! Poor deus
  3. M

    JamiiForums Tanzania Pasco - Unawezaje kusema maneno kama haya ?

    Ndugu inaonekana muaminifu sana kwa hizi western media statement's 1 . are u serious believe kwa Israel are attacking pelestine territory sababu ya hamas kutumia tunel? So far raia zaidi wakiwemo na watoto wameshauwawa tena majumbani 2 . usage of people as human shield swali je, ndg unajua...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Siri ya Msajili wa Vyama Jaji F. Mutungi kumzuia Mbowe kugombea yaanza kuvuja

    Lizaboni, tata mandiba, big show &co nahisi hadi akili zenu ni za kijani na njano
  5. M

    JamiiForums Tanzania Chama kitatoa kauli upotoshaji wa Msajili wa Vyama

    Tumia kichwa kufikiria badala hiyo sehemu nyuma chini ya kiuno, hayo mambo ya propaganda za kitoto yanawadhalilisheni sana. Jitambue
  6. M

    JamiiForums Tanzania Chama kitatoa kauli upotoshaji wa Msajili wa Vyama

    Hivi ww ifweero na wenzako kweli uwa mnalala? Maana habari zinazohusu chadema hata ziweke saa9 alfajir nyinyi ni wa kwanza ku comment!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Lukuvi: Tumetenga milioni 80 kununua gari aina ya RAV4

    Toyota ruv4 2014 model/5 doors/full options, ni 29.720 c.f.i
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe na Januari Makamba, mnataka kumpotosha nani?

    Na hii ndio point pekee myobaki nayo nyinyi family zake kifalme unaogopa madiliko mbona mwl. Alikataa rushwa, ubahilifu, ufisadi nk nyinyi ndio waumini wakubwa hayo?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa CTN Rahma Aziz

    Yupo Anaishi Leicester England, ameolewa na ana watoto wawili
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: BUNGE Maalum la Katiba - TBC LIVE - Feb 18, 2014

    Kazi ipo basi huyo simiyu yetu unaweza sikia nae ni msomi! ,ayezungumzia suala la bunge la katiba kama mpira wa simba na yanga! ! MUNGU IBARIKI TANZANIA
  11. M

    JamiiForums Tanzania KIGWANGALLA apendekeza Rais Asitishe Bunge Maalum la Katiba ili Kukubaliana Kuhusu Muundo Muungano!

    Hawa ndio ma dk. Watu uwa hawaoni taabu wala aibu kuweka pembeni degrees zao na kuanza kuandika utumbo wa kisomi kwa nia moja tu kutetea maslahi yao ya kisiasa
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini: Kiboko ya Sugu 2015 ni Mbuzax

    Wewe sio tu ndevu chafu bali pia hata akili ni chafu
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Ngara yaendelea kutishia uhai wa CCM

    Ulitakiwa pia zaidi kuuliza kuhusu wale wa naohama cdm kaenda ccm
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Ikulu inaendelea kuudanganya ulimwengu?

    Duh! Sorry mkuu kwani una umri gani?
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe Wachana na Hizi Tunza Heshima Yako Jiuzulu Tu! Waachie Wengine Uongozi Imetosha!!

    But sidhani washauri wa f. Mbowe wanaweza kuwa wajinga kuliko ww unayetaka akusikilize. Uliyonayo ni hofu tu ya kawaida maana chama cha baba ndio kinachungulia kaburi namlishazoea r.i.p ccm
Back
Top Bottom