Recent content by Mwendabure

  1. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    Heshima mbele Wakuu! Tumia Dodoki au Burashi na povu jingi la sabuni wakati wa kuoga hasa siku 2 au 3 kila unaponyoa ndevu. Nadhani, mapele ya ndevu husababishwa na mgando wa uchafu laini mfano jasho la mwili, marashi, vumbi na hata povu la sabuni nk... Mikono/viganja haviwezi kuzibua utando...
  2. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Mh Rais, kuna Faili liko mezani hujaligusa kwanini unaliruka?

    Mwandishi umejificha lakini nimekuona.... Poh kidali! Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania JE Mh. Makonda anajua uonevu huu katika mkoa wake?

    Tunaisoma namba kwa pamoja. Mchungaji. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Sumaye alaani kauli ya Paul Makonda.

    Lumumba is loading....
  5. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Kariakoo ni kero, machinga wamejaa kila kona

    Ni mpaka maafa yatakapotokea.
  6. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania CCM wameanza kuogopa kivuli chao wenyewe, ukistaajabu ya BM na JPM utaona ya JK na SAS.

    Pamoja na mengine... hapo mwisho kwenye kutekwa marafiki wa "mwonyesha nia" nimekuelewa vema.
  7. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Polisi asema "Kidumu chama cha mapinduzi" Wakanyaga katiba kwa kufanya siasa wazi wazi

    Mimi ndo nimeona aibu...
  8. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Azam tv kipindi hiki kigumu cha kufungiwa local channel

    Pia Azam ongezeni na chanel za muziki. Mnaboa na vichanel viwili..
  9. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Kwa huu uhuni wa wachina namuunga mkono Trump kuwabania.

    Fyeeekelea mbali....
  10. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Watangazaji bora wa michezo kizazi hiki

    Huu mjadala utaingia kwa Mahasimu wa Msimbazi na Jangwani. Mpaka naandika hali bado ni shwari.
  11. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Namna ya kui trick express vpn ili upate kuitumia bila kulipia

    Watu mnapenda sifa bila kuwa na sifa
  12. Mwendabure

    JamiiForums Tanzania Magufuli kusema angepiga mashangazi: Wanawake wa CCM (UWT) wasema kauli hiyo haina tatizo, ilikuwa tahadhari tu

    Ipo haja ya hilo jina la UWT (Umoja wa Wanawake Tanzania) liangaliwe upya kwani lina ukakasi. (in Nape's voice) Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Mwendabure

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo lakini ana kasoro

    Akikua ataacha! Binafsi ndo mana sipendagi visichana KKB.
Back
Top Bottom