Its a bit hectic to know exactly what the problem is until it happens to you...I suppose the arrogant Kova didn't imagine how would it be had it been done to his blood baby girl
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ukipiga nje na yeye mkeo watapiga...! '''Kipimo unachompimia mwenzio ndio utakachopimiwa''''. Sali acha hayo mawazo najis Mungu hapendi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Una mavi nenda kanye ndio uje kupost huku..! What a shame...! U have no difference with a person walking but mentally dead!
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Ndugai ni mwenyekiti wa wabunge wasiojitambua wanaodhani Wamezaliwa kuabudu CCM badala ya kusimamia haki za wananchi...! Mimi si mwanasiasa lakini nitafadhili kampeni za upinzani jimboni kwake 2015 hatutaki kuona akiingiza upumbavu wake kwenye sheria za nchi..! Tunataka sheria zitungwe na watu...
You know nothing about the requirements of the law with reference to government accounting and CAG role in particular..! CAG 'HARUHUSIWI' kisheria kuwa mwanachama wa chama chochote cha siasa hata baada ya kustaafu au kuachishwa kazi...! Unachosema ni porojo kama za Nape Mnauye huko majukwaani...
Ana hadhi gani ya kupigwa risasi huyu jamaa.....wangekamata tu watupe huko lupango tena isijulikane yuko wapi maana ni mchochezi wa mambo ya kijinga....police wametumia nguvu kubwa sana tena nguvu ya kuuwa tembo kwenye kumjeruhi sisimizi....
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Unaonekana umekremu cost benefit analysis na hzo models nyingine ulizotajataja hapo juu.....ungeelewa ungeandika assumptions zako na utofautishe cost of living ya mikoa tofauti kama unavyoona ww kwamba dar ndio kunahitaji apartments peke yake..!!!!
Never make a direct translation of the bookish...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.