Recent content by mwenda wazimu

  1. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Mwanamke epuka mwanaume anaekupaka mate

    Usiseme kupwakwa mate tu umesahau na wazee wa uvinza
  2. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mahindi Rwanda..

    lugha ngumu
  3. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Mahindi Rwanda..

    Serikari ilizuia kutoa export permit za mahindi we unapeleka kwa vibari gani mkuu,now wanatoa vibari vya zimbabwe tu
  4. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake huwa wanataka nini?ona huyu,mshauri

    Achana nae katufute mwingine uyo akufai Mwanamke akinyimwa akili zinazo umia ni sehemu za sri
  5. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awakaribisha wawekezaji kutoka Vietnam

    Waziri mkuu anajitahidi kurudisha soko la korosho maana wa vietnum ndo wanunuzi wakubwa kisha wahindi na hata waindi wanao nunua wengi upeleka vietnum
  6. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Tunauza miwani ya tatizo la kutoona vizuri usiku wakati unapoendesha gari yako

    Beiiiiiiiiiiiiiiiiii
  7. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Namanga Township

    Swala la maji namanga sio tatizo tatizo ni kikundi kidogo tu cha watu wachache wanao fanya huo mradi kuwa wao badala ya mradi wa kijiji (babu wa kale kina kitume na wengine wachache) nishafanya vikao nikiwa hapo mpaka na mkuu wa wilaya pamoja na viongozi wa kenya,ukiwekwa utaratibu mzuri namanga...
  8. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Swali kwa Wanaume

    Yap nakubali........ ukitaka kujua tabia za mwanamke vizuri usi sex nae kwanza, uki sex nae kwanza ndo ujifanye unataka kujua kuhusu yeye umepotea hakuna utaambulia
  9. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nashindwa kuelewa mimba hii imeingiaje

    Daah kweli hii kitu imekuchanganya hadi tarehe unaandika kinyume ila pole sana,lea tu ndugu usiogope!!!1
  10. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa samaki aina ya kibua mtaani

    ndo ujue penye miti apana wajenzi,pamoja na bahari maziwa ila tuna importer samaki usishangae samaki tu kuna vitunguu swaumu pia vinaingia kila leo
  11. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa samaki aina ya kibua mtaani

    Vibua walikuwa imported na hali ime change kupata kibali tu cha kuingiza si chini ya milion 8-10 wafanya biashara saizi wanapeleka kongo na rwanda ila binafsi nilikuwa siwapendi maana wanakaa kwenye contena wiki 6-7 mpaka washuke bandarini
  12. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza lugha ya kisukuma tafadhari msaada wenu

    ujambo ( olemola sijambo kabisa (mola sana za nyumbani (jagokaya
  13. mwenda wazimu

    JamiiForums Tanzania Nimemkuta na tattoo

    Kuna wakati binadamu tunalazimisha wenzetu wawe malaika!!!!!!! sisi vip? tuna umalaika huo
Back
Top Bottom