Madictators wote duniani wanaanza kimya kimya kwa kuminya vyama na watu wanaomsubua kiongozi. Tutaamini vipi kama sio dictator wakati sifa za udictor anazo! Kimbuka madictators wanatabia yakuwafanya raia wampende kiongozi hata kama hawamkubali
Ualimu ni taaluma ya watu na iheshimiwe. Si kila mtu anaweza kufundisha ingawa wote wamepita mikononi mwa MWALIMU. Tuache kubeza taaluma muhimu bali tuiheshimu na kuithamini kama taaluma zingine
Maamuzi ya kukurupuka yana madhara makubwa. Unawafukuza je watu kazi wakati huna uwezo/ bajeti ya kuajiri mwengine! Hii ni aibu sana kwa taifa na chama chake. Wawarudishe basi na wenye vyeti fake waendee kuzalisha hadi hapo watakaopokua na uwezo wakuajiri wengine. Haya ni mateso kwa waliomakazi...
Hadithi ndefu lakini henye maana. Wapo wengi waliopendana/wanaoumizwa na utalawa huu. Wakasemee wapi kama wanaowaongoza hawataki kuambiwa? Asante mwinjilisti kwa kuvunja ukimya
Naungana na mawazo yawengine waliosema "haiwezekani". Kwa ushauri tu "hakuna mtu ambaye hana akili" sikushauri ukate tamaa mapema hivi maana huyo mtoto atakusumbua sana mbele ya Safari.
Tafuta wataalamu (walimu) unaowaamini, kaa nao waeleze wakupe ushauri. Pia mtafutie mwalimu wa masomo ya...
Hapo ndio uanaume unatakiwa uutumie hapo. Hakuna ushauri juu ya ndoa ya watu wawili waliopendana kwa vigezo wavijuavyo wao. Moja tu la msingi "tumia busara kufanya maamuzi kwenye hilo Jambo nzito lililo mbele yako. Usitumie jazba wala hasira kufanya maamuzi utakayoafiki kuyafanya. Kumbuka Hasira...
Pambana na hali yako, ukiwazia mshahara ambao haujaongweka tangia 2015 utapoteza mwelekeo. Subiri hayo madaraja mapya yatoke ndio utajua upo Jungine gani
Pole jamaa, haya mambo yapo wala usiyaweke moyoni maana yanaumiza. Kuitwa mwanaume sio kwasababu unavaa suruali bali ni jinsi unavyoweza kubeba mazito kama hayo ya kuachwa solemba. Ila potazea tu maana wapo wengi utajitwalia kadri utakavyo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.