Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,286
- 18,546
Yanga 1: singida united 0
Pole, Huyo jamaa alikua anakula pia na pesa zako anazitumiaDah.. cjawahi kufikiria hii kitu kama cku moja itakuja kutokea kwangu..
Hiv inakuaje unakuwa na girlfriend ambaye anakaa kwao but mnaonana na mnaasiliana karibia kila cku kma sio kila wakat..
Na tendo mnashirki kila wakat.. na ni fund haswaa..
Na sijawah ku suspect kama atakuwa na mtu mwingine mpaka leo asubuh..
Nimeamka nakuta text like morning hun..
Nikajibu kama kawaida..
Iliyofuata ndo nikachoka kabisa ananiambia baby mi naolewa ijumaa.. ni muislam by the way..
Mwanzo nilifikir sikukuu ya wajinga kama ilivyo kawaida tar mosi april..
Lakin hapana anamaaisha anachokisema na anataka baraka zangu..
Bas kwasasab ndoa ni jambo jema na mm nikaangalia raman zangu kwa sasa kuhusu kumuoa bado hazijakaa poa though alikua anapata ekila ktu alichokuw anahitaj..
Bas nikampa go ahead akaniacall tukaongea akaanza kulia.. nikamuuliza mbona ghafla!?? Je umeridhia kuolewa!? Akajibu yah ameridhia.. bas nikamwabia m glad amekuwa honest hakutaka kunifichacoz ingeniuma sana..
Ikabid hata hayo maswali mengne nisimuulize kwasabab hayakuwa na maana kwa wakat huo na wala yasinge rudisha wakat nyuma.
Nampenda n she knows that.. but situation kama hiz znatokea..
All the best kipenz changu i hope he is perfect match for her n atakuwa salama huko atakapoenda.
Yeah bro! We r all human.. unaeza kumuacha kwa mabaya af mwisho wa siku mnakutana sehem ... tunapita tu..Kaka pole japo nimependa how mature ulivyo respond kwake. Yes inauma, but humkumtakia mabaya wala kulaani. Japo mlikuwa kwenye mahusiano nakwambia huyu mwanamke hatakaa akusahau mpaka kufa kwake kwan utaendelea kuwa na nafasi kwenye moyo wake always.
Usishangae akiendelea kukutafuta kw amsaada au ushauri.
It is painful but beautiful breakup. Hakuna uadui wala vinyongo.
All the best for her