Katibu Mkuu utumishi lini TUTAREKEBISHIWA mishahara tuliofutiwa barua za awali na kupewa za kuanzia Novemba 2017?

kijanamdogo

JF-Expert Member
Feb 25, 2018
231
176
Leo nimesoma waraka toka Kwa Katibu Mkuu Utumishi akizungumzia marekebisho ya mishahara Kwa watumishi 25,000 WALIOPANDISHWA MADARAJA.Najiuliza mbona sisi Wa Awamu iliyopita ya watumishi 59,000 TULIOREKEBISHIWA BARUA zetu na kuwa za Novemba 2017 Hatujarekebishiwa mishahara mpaka Leo?Tayari tunaidai Serikali malimbikizo ya mishahara toka Novemba 2017mpaka March 2018.Tunaiomba Serikali iturekebishie mishahara MIPYA.
 
Novemba mpaka machi ni kipindi kifupi mkuu, vumilia tu
 
Pambana na hali yako, ukiwazia mshahara ambao haujaongweka tangia 2015 utapoteza mwelekeo. Subiri hayo madaraja mapya yatoke ndio utajua upo Jungine gani
 
Back
Top Bottom