Recent content by mwembemdogo

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mie nilidhani Mbowe tu ndio halipi kodi, kumbe hata Manji

    Nimeshtushwa na taarifa kuwa mfanyabiashara mkubwa na Diwani wa Mbagala CCM na Mwenyekiti wa Klabu bingwa ya soka Tanzania na mmliki wa Quality Group Mh. Yusuf Manji nae halipi kodi. Tunakuomba Diwani Manji hebu lipa hiyo Trilioni 1 unayodaiwa ili nchi ipige hatua kimaendeleo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mizengo Kayanza Peter Pinda ni Waziri Mkuu mstaafu wa mfano

    Wa mfano wa kukubali matokeo ya uteuzi wa uraisi kirahisi
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Watanzania wanaongoza Kwa unafiki aisee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Wakili Albert Msando wa ACT kuwatetea akina Lipumba

    Lipumba nae atangaze kuhamia ccm
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

    Kuna Dawa ilikuwa inaitwa MB
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kuwajua viongozi wa mbio za mwenge tangu 1961

    Nenda ccm Lumumba Ole sendeka anayo orodha
  7. M

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane dawa za zamani, naanza na chloroquine

    Vinac
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuzuia mikutano kunawanufaisha wapinzani kuliko CCM

    Mkuu hoja yako INA mantiki hata Mwenyekiti wao mstaafu alitamka kuwa ccm inapaswa kufanya mikutano ili kuwarudisha wanachama wake waliohamia upinzani
  9. M

    JamiiForums Tanzania Magdalena Sakaya aunga mkono Jeshi la Polisi kumzuia Maalim Seif Mtwara

    Sakaya Na bwana yule ni CCM
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mojawapo ya kazi za Eric Shigongo alizowahi kuifanyia CCM

    Shigongo masikini kwanini wewe Na mtikila mlimsingizia kamanda Lowassa? Dhambi ya uongo inakutafuna
  11. M

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema: Shujaa wa "maono" ameponzwa na utoto?

    Sema mchana usiku utalala
  12. M

    JamiiForums Tanzania Lema, Mbunge anayekitia chama hasara

    Labda ccm ndio inapata hasara
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ole Sendeka: Kama kweli Shigongo anaidai CCM afike ofisini, sio kulalamika mitandaoni

    Afike Mara ngapi? Mbona madai yake yako kwenye majalada hapo ofisini
  14. M

    JamiiForums Tanzania NAUMWA NA KICHWA CHA PEMBENI NA KISOGONI NAOMBA USHAURI

    Ndugu zangu naomba ushauri wa matibabu .Nilikuwa naumwa Typhoid nikatumia vidonge 84 Kwa wiki 2.Wakati naendelea Na matibabu nilianza kusikia maumivu ya kichwa upande wa kushoto Na kulia Na nyuma ya kichwa.Ninaomba msaada wenu kwani nimemeza Dawa za maumivu sijapata nafuu
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge James Mbatia amelazwa katika Hospitali ya Zydus, nchini India

    Pole sana Mh.Mbatia
Back
Top Bottom