Wakili Albert Msando wa ACT kuwatetea akina Lipumba

Wakili Albert Msando wa ACT kuwatetea akina Lipumba

saidi kindole

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
311
Reaction score
796
Ukiangalia sana kesi hii inayowakabili akina lipumba na msajili wa vyama ambao wameshitakiwa na wadhamini wa CUF ni kama vile mapambano kati ya CHADEMA na ACT.

Ebu angalia mawakili wanaowatetea lipumba na wenzake ni Albert Msando kwa upande mmoja na mawakili wanaowatetea CUF ya Maalim Seif yumo Kibatala, na Tundu Lissu kati ya mawakili watano waliofika mahakamani leo.

Hii inaonyesha wazi vyama hivi viwili viko nyuma ya mgogoro huu wa chama cha CUF.
 
Akili za watu wa Chadema mda mwingine ni kichefu chefu wanatafuta Huruma kwa nguvu, Kuna kipindi Wakili Marando alikua anatetea mafisadi wa Mabilion ya Kagoda.. Na kumbuka wale mafisadi walikula Fedha ya Umma.. Na mlimtetea Marando kua yupo kazini.. Kwahiyo Msando asifanye kazi kisa Kuna mawakili wa wa upande wa Chadema.. Ujinga mtupu
 
Hii ni hatua muhimu sana katika historia ya demokrasia ya Tanzania. Kumbuka maneno ya Kafulila kuwa hawa wapinzani nusu/ccm nusu ni wabaya zaidi ya ccm yeneyewe kwa hiyo wanapozidi kujipambanua ndipo tunaelewa ugumu au urahisi wa kazi ya ukombozi wa pili.
 
Huyu Seif na Wenzake si watangaze tu kuhamia CHADEMA!ACT, Lipumba na wenzake si watangaze tu kuhamia CCM?
Makubaliano ya awali ilikuwa lipumba ahamie ACT halafu baadaye arudi nyumbani kwao ccm , angalia Machali .
 
Huyu Seif na Wenzake si watangaze tu kuhamia CHADEMA?
Seif na wenzake wako katika ushirika wa Ukawa hivyo sio ajabu kutetewa na mawakili wa Chadema. Au hujui maana ya ushirika? Wewe ukimtetea mkeo kwani lazima nawe ubebe mimba?
 
Akili za watu wa Chadema mda mwingine ni kichefu chefu wanatafuta Huruma kwa nguvu, Kuna kipindi Wakili Marando alikua anatetea mafisadi wa Mabilion ya Kagoda.. Na kumbuka wale mafisadi walikula Fedha ya Umma.. Na mlimtetea Marando kua yupo kazini.. Kwahiyo Msando asifanye kazi kisa Kuna mawakili wa wa upande wa Chadema.. Ujinga mtupu
Akili hawana vilaza hao
 
Back
Top Bottom