Tujikumbushe mojawapo ya kazi za Eric Shigongo alizowahi kuifanyia CCM

Niliposoma andiko la Shigongo nikatabasamu sana.Nikavuta picha ya Erick ambaye huwa anasimama kwenye mimbari na kuhamasisha vijana wasikate tamaa wala kulia hovyo,wapambane.

Nilivuta picha ya Erick Mhamasishaji ambaye huongea kwa kujiamini sana mbele za watu.Nikaumia kuona kuwa kumbe hata Shigongo na yeye anahitaji semina licha ya kuwa yeye huwa mtoa semina nyingi za vijana juu ya kujitambua.

Hasa pale Erick amaposema alilia mbele ya wafanyakazi wake,alilia mbele ya mke wake.Kumbe kweli kila mtu hajakamilika.Katika wale anaowapa semina ya maisha "Street University",kumbe miongoni mwao pia wanatakiwa wampe Erick semina pia juu ya maisha.

Mpaka leo Erick alikuwa hajaijua CCM vizuri,mpaka pale msg zake zilipokuwa hazipokelewi na kujibiwa na Kinana na pale alipopewa chupa ya Maji na Zakia Meghji badala ya pesa yake.Kumbe bado Erick hajahitimu vizuri Street University.

Shigongo anahitaji pia Semina....Pole sana Erick
 
Kama ni kweli basi hii sawa na sumu nyingine, very "Toxic". Nilimwona anahojiwa na Shaka wa VoA nikafikiri ni mtu makini mwenye busara katika jamii kumbe HOVY* KABISA !! mchonganish* na Opportunist.
 
Nilijua tu Huyu Kuna Ushetani ailioufanya Kuisaidia CCM na Sasa anatulilia kuwa Anawadai CCM, Tohel with his Demonic tears!
halafu unaweza kukuta hiyo habari na heading yake ziliandaliwa lumumba,yeye akapewa kazi ya kuzirusha na kuweka chumvi kwa makubaliano ya malipo ambayo wamemtosa.

Aliandaa makala ngapi za aina hiyo?

Maana biashara anayosema alifanya na ccm hataki kuitaja,nahisi moja ya biashara ni hiyo,ngoja wagombane sana afunguke zaidi
 
Mwisho wa yote ataambiwa ametumwa na wapinzani has a CDM tusubiri maana ndiyo zao
 
Hivi yale maji aliyopewa pale lumumba apozee machungu yalikuwa ya kilimanjaro au ya uhaii..??
 
Back
Top Bottom