Recent content by MWELUDZI

  1. MWELUDZI

    Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

    Mimi gari yangu ina ukubwa wa engine (CC) 2000 na nikitembea mwendo wa kati ya km 80 hadi 120 kwa saa huwa natumia lita 1 kwa km 10 nikienda zaidi ya 120 au chini ya 80 huwa natembea km 7 kwa lita moja. Pia mimi natumia gereji moja kwa matengenezo yote hivo fundi wangu ni mmoja tu na...
  2. MWELUDZI

    Yajue Magari yanayoongoza kwa ubovu duniani

    Mimi nina Nissan Xtrail tangu 2012 na haijanisumbua zaidi ya tatizo lililotokana na uzembe wangu mwenyewe. Iko pouwaaa na ninaenjoy kila nikiwa nayo
  3. MWELUDZI

    Tuache masihara usiombe mwanamke akutongoze utajuta kuzaliwa, wanajua kutiririka hao

    Duuuuuhhh, siku zote naililia bahati kama yako na sijawahi kukutana nayo mmmhhhhhh! Naona kale kamsemo ka mwenye nacho huongezewa kanaapply hapa![emoji12] [emoji12]
  4. MWELUDZI

    Shukrani kwenu wote kwa kunifariji baada ya kufiwa na mtoto kwenye ajali ya Lucky Vincent

    Mungu ni mwema wakati wote; tukidumu katika maombi na kumtegemea yeye hatutashindwa katika majaribu yote yanayotukabili, amen!
  5. MWELUDZI

    Kiwanja kinauzwa

    Chukua 5m tufanye biashara
  6. MWELUDZI

    Wangapi wanamkumbuka Umsolopagaas?

    Kitabu hicho kinapatikana wapi pls
  7. MWELUDZI

    Hakika Christian Bella is the king of best melody in Tanzania

    Wadau, mie naomba mwenye wimbo wa Christian Bella uitwao NAKUHITAJI (audio) anirushie manake wimbo huu unagusa historia ya kweli ya maisha yangu
  8. MWELUDZI

    nakuombeni msaada wenu

    TUKO WANGAP? amka kijana yanapita hayo mwache aende zake
  9. MWELUDZI

    Diamond atuhumiwa kumloga tanzanite...soma hapa tanzanite akifunguka kuhusu hili

    Sasa haya mambo ya usanii na ulozi sijui kama yatatupeleka popote kwenye karne hii ya Sayansi na Teknolojia. Ni vyema wasanii wetu waangalie kuboresha zaidi kazi zao badala ya kuleta longolongo kuwa nimelogwa oooh, nilikuwa nashindana na mtu. Mie sikubaliani kabisa na kulogwa hata kama huyo...
Back
Top Bottom