Kwa Wale Wa Chrismass Mwaka Huu ..

Msherwa

JF-Expert Member
Aug 4, 2012
1,335
1,225
Habari Kutoka Yelusalem
Mnataarifiwa kwamba hakutakuwepo na sikukuu ya Chrismass mwaka huu kutokana na kwamba mama Mariam amechoka kuzaa kila mwaka hivyo kaamua kutoa mimba. Hivyo uwatarifu wote wanaojiandaa na sikukuu hiyo, na Mungu atakubariki!
 
Duh asee itatuatjiri hii kitu mambo ya pilau's,outing's,heshima majumbani 2takosa mungu ampe nyingine kabla mambo hayajaharibika
 
kwenu sasa wapenda sherehe zisizowahusu!.................. mtakonda
 
ivi kumbe kila ikifika birthday ya mtu ni sawa na amezaliwa upya????? Au ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom