nakuombeni msaada wenu

nakuombeni msaada wenu

Emma.

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2012
Posts
19,932
Reaction score
5,566
Kuna demu nlikuwa nampenda siku nyingi akawa ananileta pozi nkachukua mwingine nkaenda naye ofisi kwako wana mgahawa wa chakula ..tumemaliza kula tukaondoka imepita muda wa miezi miwili sasa nlikuwa nimesafiri kikazi ndo nimerudi yle demu amenitumia sms anataka kuonana na mm je mkubalie mkamchinje au mpotezea huenda ana lake jambo na demu wangu ananipenda sana tatizo huyu demu ananisumbua sana naombeni msaada wenu wakubwa zangu ntashukuru kwa watakao nisaidia .
 
nenda kamtafune......ivumayo haidumu.......
 
kwani alivyo kwambia mkutane anamaanisha ukamgegede kama akijipendekeza piga mzigo ila ukumbuke uanavyo gegeda an kuacha siku ukiachwa wewe usilalamike
 
Kumbe demu....huenda nawe kwake ni sharobaro....
 
punguza tamaa lizika na uliyenaye
msaaada achana naye ukimuacha utapungukiwa nn
mwambie una demu unayempenda
 
Kwani amekuambia anakutafutia nini?
 
Kuna demu nlikuwa nampenda siku nyingi akawa ananileta pozi nkachukua mwingine nkaenda naye ofisi kwako wana mgahawa wa chakula ..tumemaliza kula tukaondoka imepita muda wa miezi miwili sasa nlikuwa nimesafiri kikazi ndo nimerudi yle demu amenitumia sms anataka kuonana na mm je mkubalie mkamchinje au mpotezea huenda ana lake jambo na demu wangu ananipenda sana tatizo huyu demu ananisumbua sana naombeni msaada wenu wakubwa zangu ntashukuru kwa watakao nisaidia .

Utashauriwa kwa mangapi ngugu yetu,hili mbona liko wazi tu????Fanya kile moyo wako unakutuma,vingine wala havihitaji kushauriwa!!!!!!!!!
 
Kuna demu nlikuwa nampenda siku nyingi akawa ananileta pozi nkachukua mwingine nkaenda naye ofisi kwako wana mgahawa wa chakula ..tumemaliza kula tukaondoka imepita muda wa miezi miwili sasa nlikuwa nimesafiri kikazi ndo nimerudi yle demu amenitumia sms anataka kuonana na mm je mkubalie mkamchinje au mpotezea huenda ana lake jambo na demu wangu ananipenda sana tatizo huyu demu ananisumbua sana naombeni msaada wenu wakubwa zangu ntashukuru kwa watakao nisaidia .

usiwe kama bendera fata upepo. Achana nae
 
Samahani mi nlivyoona Emma nikajua mdada ndio nikawa najiuliza ukamgegese mwenzio??
Hapo nilipopiga mstari umenitatiza wakinanani wakamchinje sasa??
kama demu wako anakupenda sana je wewe humpendi sana ndio maana unavizia vicheche??
Una umri gani mpaka unashindwa mbinu za kukwepa wadada wasumbufu?
 
By piper mtu hakatai wito mazingira aliyoniambia tukute ndo yananitatiza mazingira hatarishi
 
Ngoja ukanase huko. Uweke simu karibu ukinasa upost tukupe ushauri mpya
 
by king'asti ngoja ukanase huko uweke simu karibu ukinasa upost tukupe ushauri mpya
ukinasa unakemea kwan ni njia za giza hizo pia syo mke wa mtu yle
 
kuna watu ni magugu maji kweli...
 
wewe mgegede alafu ukimchoka muombe tigo...akikunyima ndio inakuwa sababu yako ya kumbwaga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom