Recent content by mwelimishaji

  1. M

    Mkutano Mkuu wa Wilaya Arusha: CHADEMA yafanya mambo makubwa kwa kipindi kifupi

    This is good progress and nice plan. Continue with all enthusiasm. Maendeleo ni Mipango Bora.
  2. M

    Msigwa mbaroni Iringa, Apandishwa Kizimbani

    Mahakama na Polisi wajue kuwa ukombozi wa nchi hii unawahusu na wao pia. Kubambikiza kesi si utawala bora bali ni dalili za kushindwa na kuanguka kwa dola.
  3. M

    On the Eve of Presidential Visit: An Encounter With America - Open Letter to President Obama

    May I strongly support this letter. I do not want to repeat the details, but just to emphasize that we are looking forward to mutual cooperation and expect positive impact of the visit that will make a historical record. The elephant and ant though look different in size, they may have...
  4. M

    Rais Mwinyi akilonga kuhusu uchinjaji

    Ni kweli Bwana Olawaru kerikeri pongezi zako kwa mzee Mwinyi ni sawa. Suala la imani ni la watu wanaohusika na imani hiyo na wasiohusika nayo hawalazimiki kuifuata wala kuwazuia wahusika kuifuata imani yao. tukisema mifugo yote ichinjwe na wenye imani fulani italazimu hao wachijnaji wawe na kazi...
  5. M

    Star tv, star tv, star tv, mnaudhi sana watazamaji wenu

    Kweli hata mimi sikupenda hali hiyo.
  6. M

    Tanzia: Askofu Thomas Laizer wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini afariki dunia

    Tutamkumbuka kwa maendeleo mengi mazuri aliyofanya katika Elimu, Afya na kanisa. Wema wake utaumbukwa daima na wapenda maendeleo wote. Mungu atusaidie tuige yale mazuri aliyotenda. Natoa wito: Upendo wa kweli na amani vitawale katika dayosisi yetu tangu sasa na hata milele. Tuamke na kuijenga...
  7. M

    CHADEMA vipi mgombea urais 2015 mbona kama...?

    W. J. Malecela, umeamini kuwa Zitto anaweza kuwaangusha mafisadi wa CCM au umeona ni kwamba ataangushwa kwa urahisi na mafisadi hao. Nini msimamo wako?
  8. M

    Jopo la Maaskofu lakutana Mbagala, latoa tamko zito

    Nawapongeza sana maaskofu wetu kwa tamko lenye hekima ya hali ya juu. Ni kweli Mungu atalipigania Kanisa lake na mimi naamini ameshaanza kulipigania. Kwa tamko hili kama viongozi waliolala usingizi au wanaojifanya vipofu wa kuona ukweli hawataamka na kufumbua macho yao basi haitakuwa kosa kusema...
  9. M

    Copy and Paste ya Mlima KILIMANJARO.

    Wanaokiharibu CUF ni watu wenye mawazo ya jinsi hii. hamtaki kutafuta jambo jema la kujenga chama bali mnafikiri kitajengwa kwa kujaribu kuwabomoa wanaojijenga vizuri. Mtaishia kuwaona wakipanda juu na kuzidi kupendwa. CHADEMA itaendelea kuimarika na kuppata umaarufu hata kama wengine hili...
  10. M

    The Truth Behind The Scenes: Lowassa na Chadema!

    Topthinker hii ni cooked story ya kuuficha ukweli. Thibitisha kwa data haya uyasemayo. Watu wanakuelewa jinsi unavyodanganya ili kupoteza mwelekeo wa tuhuma. Usije ukadhani watu wengine hawafikiri sawasawa.
  11. M

    Hongera Tundu Lissu: Hoja ya kurudisha Tanganyika!

    Watanganyika wapewe uhuru wao. Kwa Muda mrefu Tanganyika imejulikana kama Tanzania bara wakati huo huo Zanzibar imeendelea kuitwa Zanzibar. Ni rahisi kusikia Tanzania Zanzibar lakini kamwe hutosikia Tanzania Tanganyika. Tujiulize hivi tanganyika tuna shida na watu wasiotuhitaji? Hivi sisi...
  12. M

    TBC: Huduma hospital Dar zaendelea kuimarika

    Nimeona TBC hawaoneshi na kutangaza matukio kwa uhalisia wake. Sielewi kama hawapati habari au hawaruhusiwi kutangaza kwa uhuru au wanakusudia kuficha ukweli ambao kwa kweli haufichiki. Nimeshuhudia watu wengi wakiacha kutazama TBC na kutazama TV zingine ili kupata habari zenye ukweli na...
  13. M

    Hivi Dr Mary Nagu kapatwa na nini leo?

    Jamani naomba jadilini hoja na sio kutoa matusi. Hii inaonesha awp hujaonesha ukomavu hata kidogo. kumbuka si wote wanapenda kuona matusi. Kiongozi dhaifu ajadiliwe na udhaifu wake lakini sio kutoa matusi kama haya ambayo yanatia aibu. Plz Jirekebishe.
  14. M

    Madaktari wanahaki Muajiri je ?

    Nashauri masihara yasifanyike kwa madai ya madaktari. Umuhimu wao hauwezi kulinganishwa na fani nyingine yoyote. Wanaokoa maisha wanapotibu na Mungu anapoponya. Daktari yuko katika hatari ya kuambukizwa magonjwa kila iitwapo leo. Nafasi ya daktari kustarehe baada ya kazi ni ndogo mno kwani saa...
  15. M

    Mwenyekiti Wa Ukombozi Na Ufahari!

    nadhani Bwana William Malecela kama haya ndio mawazo yako unayoayaamini, basi ndio maana ulikosa ubunge wa Afrika ya Mashariki kwani wameona mali ulizonazo wakashtuka. POLE SANA KWA KUWAZA KIJIMA.
Back
Top Bottom