Hata wakichakachua kura zake lakini mioyo yao inawasuta, umma unatawala wao wataishi kwa hofu wakitegemea nguvu ya dola. wameona jinsi umma ulivyochoshwa na maisha haya, kwa kweli katika miaka 5 ijayo sitoshangaa kuona umma ukiwa mitaani kudai haki zao kwa nguvu,mifano ya Mwanza ,Arusha,Karagwe...