Ni kweli ndoa ya Clouds Fm na CCM ishafungwa?

Ni kweli ndoa ya Clouds Fm na CCM ishafungwa?

Muadilifu uko sahihi, siyo sawa kuzidisha 350,000 x 315,000 x 12 kwa sababu kwa kufanya hivyo tuna assume kuwa wafanyakazi wote watalipwa kima cha chini. Hata hivyo hebu tujaribu kufanya makisio tu kuwa kwa wastani wafanyakazi wote wa serikali watalipwa Sh. 1,200,000 kwa mwezi, bado hatutapata tririon 6 za JK! Kumbuka wafanyakazi wengi wa serikali ni waalimu na manesi ambao mishahara yao hata akiongeza hicho kima cha chini, haitafika wastani wa 700,000.

Number of staff 350,000 Average salary per staff 1,200,000 No. of months to be paid 12 Total Salaries per anum 5,040,000,000,000 ADD: GVT 15% contribution to Pension schemes 756,000,000,000 Total Salaries +15% Pension contributions 5,796,000,000,000

Asante sana mkuuu
 
In short sometimes hao jamaa wanakua nje ya "key" kabisa. Wanaongea kama wapo klabuni bila kujali kuwa wanapeleka habari kwa jamii na habari zenyewe lazima ziwe za kweli zisizokuwa na chumvi. Halafu kazi yao ni kutangaza na kama wanataka kuchambua habari za watu wengine basi waalike watu wanaohusika halafu waichambue. Sana sana watajitengenezea uadui usiokuwa na maana katika jamii hasa yule jamaa anayetoka mkoa mmojawapo wa kusini, yule zuzu kweli wakati mwingine, unadhani yuko kwenye comedy wakati anatangaza!
 
Ujumbe utakuwa umefika kwa kibondo and his team
 
Mkuu unasema ukweli naona hawa kila siku wanawapigia debe CCCM, siku moja hasira za watanzania wakiamua kufanya mapinduzi ya CCCCm na clouds ndo utakuwa mwisho wao. clouds ni wa**za*****ndki wakubwa
 
wamenunuliwa na ccm cmnajua ushindi wa kishindo???/mbona iko clear kabisa??????????????????
ila n ashangaa kwani wanajiita professional lakini sheria zinawataka kutokuwa upande wowote wa vyama vya siasa ijapokuwa watangazaji wengi ni waganga njaa na wanatafuta upenyo wa kuingia ccm wnataka waje wakumbukwe kwa fadhira ya kuwasaidia waingie ikulu...
 
Clouds walivyo hovyo utasikia kwa kesi ya Liyumba wanapika porojo za ccm heti JK kafanya Kazi Stay tuned
 
Asante sana kwa kunizindua nilikuwa naifagilia kishenzi ila tangu yale maongezi ya kibonde na mgomo sikumwelewa mara tena nikaja kumuona kwenye uzinduzi wa kuwaibia watu ukichangia sisieemu hapo moja kwa moja nikajua hatuna mtu pale nina laini ya zain nafikiria kuichoma moto sababu yeye huyo Kibonde
 
Ni kweli kabisa huyo jamaa pamoja kuwa tunatoka mkoa mmoja lakini ni dhahiri kuwa amekunya maji ya bendera ya chama cha Waabudiwa. Nina uhakika kwa jinsi ninavyomfahamu Mtendakazi mkuu wa vyombo vya habari Mheshimiwa sana Mpachika kale kajamaa kangekuwa kamepigwa stop kutangaza redioni siku nyingi, kana lugha za matusi,udhalilishaji watu, ghiliba na uzushi uliopangwa kwa maslahi ya wanomtuma. Nadhani wakati umefika watu na makampuni makini kugomea kupeleka matangazo kwenye redio yao na tusiwasikilize kabisaa.Mheshimiwa Mpachika endelea kukalea hako katoto lakini hasira za Wadanganyika mtaziona Oktoba
 
Hata wale wauza chai asubuhi ndio hovyo kabisa kuna kale kajama kalevi kana ganga njaa nako siku hizi kanajua kusema utakasikia kanadandia hoja na kukosoa watu kana kwamba kenyewe kasafi sana. Kuwaita watu Wapuuzi au Mazuzu ni matusi Umeme umekatika nyumbani kwa hawara yake basi itakuwa kelele nchi nzima watajua na Bonge atatumwa awe shuhuda wa tukio, acheni ubabaishaji waambieni wanaowatuma wawekeze kikweli kweli katika huduma za jamii sio kutuzingua kila siku kwa kujifanya watetezi wa umma.
 
Hawa tumewachoka mana wanaboa saaana
 
Sasa clouds wamezidi hawatoi haki kwa viongozi wote sasa hivi eti kuna mpango wa kuarika kila waziri aongee Radioni na wananchi kuhusu utendaji wa idara yake, hii sio haki hata kidogo, CLOUDS RADIO UCHARA IMEKUWA YA KISIASA SAANA
 
Enzi za Masoud Kipanya na Fina Mango ,kipindi cha PowerBreakfast kilikuwa bomba sana but since wameondoka hamna kitu tena,pumba tupu
 
Inaelekea kwani kwa muda sasa hata kwenye power beakfast wameanzakuleta mawaziri kuelezea sera zao. Wanaboa
 
  • hata wewe ukitaka leo hii jenga nyumba katikati ya barabara kisha simika bendera ya chama hicho uone kama kuna yeyote atakayidiriki hata kulalamika.
  • nilinde nikulinde; nipe nikupe; liwa uliwe; jikombe ulindwe...!
  • hao mawingu kuna kitu wanaficha bwana na wanajikomba kwa malengo. Time will tell.
 
Let us see and wait
 
eti wengine hapo clouds wameshatangaza nia ya kugombea uongozi, hatuwezi kuongozwa na mashoga, watu wanaopenda kuchekacheka, we need serious peoplewho can stand and speak the trueth,
 
Hao ni wazee wa mapouudaaaa, so wapotezeeni, hawana jipyaaa, usiku wanageuza zipu zao mitaa fulani
 
Back
Top Bottom