Nimwonavyo Dr. Slaa (Maoni yangu)

hivi wewe kikwete uoeni hata aibu kuwaibia watanzania mchana kweupe, unataka tuzungumze na wewe kwa lugha ya kikwele ili utuelewe, maana nake sidhani hata kama hiko kikwele unajua kwa kweli. Sasa tunasema hivi tumekuchoka ikulu siyo kijiwe cha familia, majungu, ushirikina na mengineyo ya gizani unayo yafanya wewe, kuliko kuondoka na aibu bora umwage manyanga kwa busara. Na wasiwasi kama miaka mitano utamaliza kwa kuwa utabiri wa mchawi wako mkubwa "shekhe yahya" utatimia.

Napita kimya kimya???????
 
Naam nashkuru umepata kaka,ni wazi SLAA Ahadi zake hazina msingi,mpaka sasa ana mda mrefu katika ubunge,je ameleta Mabadiliko gani Karatu,je ameondoa umaskini au kakuza kiriba tu na 1st lady wa msimo,Tanzania bado haijafikiwa kuongozwa na mhuni
hahahaha na JK bagamoyo hivi vichekesho!
 
naam nashkuru umepata kaka,ni wazi slaa ahadi zake hazina msingi,mpaka sasa ana mda mrefu katika ubunge,je ameleta mabadiliko gani karatu,je ameondoa umaskini au kakuza kiriba tu na 1st lady wa msimo,tanzania bado haijafikiwa kuongozwa na mhuni

get lost.................. Wapuuzi kama wewe ndo mnaopigania mfumo wa chama kimoja. Nenda kwenu kalime mihogo
 
habari za kuaminika ni kwamba majimbo mengi slaa kaongoza ila nec wameripoti data wanazojua wao wenyewe. Mfano dar dr. Slaa alifunika vibaya hadi ikabidi makada wa ccm waombe msaada usalama wa taifa ili zichakachuliwe kwanza kabla ya kutangazwa....

dr.slaa atatoa data baadae leo......
kama alikuwa nazo angezitoa kabla:smile-big:
 
Hata wakichakachua kura zake lakini mioyo yao inawasuta, umma unatawala wao wataishi kwa hofu wakitegemea nguvu ya dola. wameona jinsi umma ulivyochoshwa na maisha haya, kwa kweli katika miaka 5 ijayo sitoshangaa kuona umma ukiwa mitaani kudai haki zao kwa nguvu,mifano ya Mwanza ,Arusha,Karagwe, Iringa mjini, Mbeya mjini na kwingineko ni ushahidi tosha na kielelezo cha umma kuukataa utawala uliopo. Watanzania mioyoni wana machungu iko siku watalipuka, Watawala jirekebisheni kabla ya shari....Tunataka Tanzania yenye amani, msituletee Balaa kawa uroho wa mali na madaraka
 
habari za kuaminika ni kwamba majimbo mengi slaa kaongoza ila nec wameripoti data wanazojua wao wenyewe. Mfano dar dr. Slaa alifunika vibaya hadi ikabidi makada wa ccm waombe msaada usalama wa taifa ili zichakachuliwe kwanza kabla ya kutangazwa....

dr.slaa atatoa data baadae leo......
Dr. Wetu wa ukweli twasubiri ripoti yako hao NEC ni washenzi kabisa
 
Back
Top Bottom