Mke wa Rais ni MJAMZITO?

Wanajamii badala ya kujadili ujaa uzito wa Mheshimiwa mama ni vema tujaribu kujadli jinsi ya kuwanusuru wale ndege waliokuwa wakiishi maeneo ya Ikulu na mitaa ya jirani na hapo ambao karibu watatoweka katika jiji letu la Dar. Ni ukweli usiopingika kuwa Tausi ndege waliokuwa wakilpamba jiji letu hasa katika mitaa ya Ocean Road,Luthuli, viwanja vya karimjee mpaka maeneo ya gym khana sasa wako hatarini kutoweka kabisa kama juhudi za makusudi zisipochukuliwa.Maeneo ambayo ndege hao walikuwa wakivinjari na kuwa makazi yao sasa hivi yamevamiwa kwa kasi kubwa na ujenzi wa maghorofa ambayo yameondoa kabisa vichaka vilivyokuwa vikiwahifadhi ndege hao.Ndugu zangu kama wapo watu ambao wanaweza kuwasaidia ndege hao wakaendelea kuwepo basi tunawashauri wawahamishie maeneo ya Chuo Kikuu cha DSM campus ya Mlimani huko maeneo bado ni mazuri kwa ustawi wa viumbe hao.Ni imani yangu kuwa wakihamishiwa pale watasaidia kulifanya eneo hilo kuwa la kuvutia wageni na watu mbalimbali kuendelea kuwaona ndege hao kama ilivyokuwa kabla ya maeneo ya asili kuharibiwa na kasi ya maendeleo.
 
To me that has an impact ktk mengi tuu!
JK At the age of 50+ unazaa mtoto jamani huo ni umri wa kulea wajukuu!
Lazima tuwe strategic ktk ilo na sio kuwa myopic.
Kama kweli hongera zake angalau atulie budget ya misafara itapungua ingawa kwe mwenzie itakuwa ndo ruksa!

Tafadhari usimshushe umri Rais wetu, ana miaka 60+ kwa sasa, haipendezi kuzaa katika umri huu.
 
Haipendezi kwa nani? mtoa mimba? mpokea mimba? au anayeona fulani ana mimba?
kama wanawake wengine hajaolewa kujaza choo bure......azae mpaka yai la mwisho uwezo wa kutunza watoto wanao! sababu ya kuzaa wanayo! uwezo wa kupeana mimba wanao na kama nia wanayo hakuna haja ya kufikiri mara 2 wazae
honger JK unawajibika kwa taifa na kwa familia vema
 
Wanajamii badala ya kujadili ujaa uzito wa Mheshimiwa mama ni vema tujaribu kujadli jinsi ya kuwanusuru wale ndege waliokuwa wakiishi maeneo ya Ikulu na mitaa ya jirani na hapo ambao karibu watatoweka katika jiji letu la Dar. Ni ukweli usiopingika kuwa Tausi ndege waliokuwa wakilpamba jiji letu hasa katika mitaa ya Ocean Road,Luthuli, viwanja vya karimjee mpaka maeneo ya gym khana sasa wako hatarini kutoweka kabisa kama juhudi za makusudi zisipochukuliwa.Maeneo ambayo ndege hao walikuwa wakivinjari na kuwa makazi yao sasa hivi yamevamiwa kwa kasi kubwa na ujenzi wa maghorofa ambayo yameondoa kabisa vichaka vilivyokuwa vikiwahifadhi ndege hao.Ndugu zangu kama wapo watu ambao wanaweza kuwasaidia ndege hao wakaendelea kuwepo basi tunawashauri wawahamishie maeneo ya Chuo Kikuu cha DSM campus ya Mlimani huko maeneo bado ni mazuri kwa ustawi wa viumbe hao.Ni imani yangu kuwa wakihamishiwa pale watasaidia kulifanya eneo hilo kuwa la kuvutia wageni na watu mbalimbali kuendelea kuwaona ndege hao kama ilivyokuwa kabla ya maeneo ya asili kuharibiwa na kasi ya maendeleo.

Safi saaana... kuna mpango wa kulifanya eneo la magharibi la Mlimani City kuwa Zoo...
 
.....Waaaaiiit a Moment, Pleasee! Mtoa hoja ana hoja fulani hata kama kai-represent vibaya. labda kinachowasumbua watu ni lugha iliyotumika. Mke wa raisi kuwa pregnat ni news! This is not just another woman, She is the First lady for Christ sake, everything regarding her is news! She is mirror of our women society.If she she gets pregnant at +50 we should be asking why coz kila dakitari bingwa wa magonjwa ya akina mama atakuambia kuwa pregnancy at +50 cud be dangerous to the mother, we shud be asking ourself why shud our first mama be put into a dangerous health stuation at this Sunset time of her age! Surely, it is not that she and our mzee needs a children? l
akini pia hata huku uswahili kwetu watu wanamuangalia vibaya mama ayeyote mbaye anaendelea kuzaa at +50 sawa na bint yake wa miaka 20! Nani amsaidie nani?? lakini Mwisho kabisa kama tayari ana watoto +4 or 5 atawezaje kusimama kuwashauri akina mama wengine uzazi wa nyota ya kijani wa kuzaa watoto unaoweza kuwatimizia mahitaji tu, wakati yeye she is still going on kuijaza dunia at +50 ??? come on wote mliocharukia mtoa hoja, surely you can do better than that!!!
 
Uko sahihi kabisa wengi tunakimbilia kuhoji mimba tu hatuangalii zaidi ya hapo ni sawa na wale waliohoji kuna tatizo gani gari la rais kuchomoka tairi, tunasahau kuwa rais ni kioo hata mke wake ni kioo pia kila anachofanya hata kikiwa cha kifamilia kinaangaliwa na jamii nzima. Hapo kuna suala la malezi na uzazi wa mpango kuna time-menagement kwa rais na Firstlady, kuna mgongano wa majukumu nk nk.

Unapokuwa rais au kiongozi kuna uhuru fulani huwa unachukuliwa huwezi kufanya mambo kama ulivyokuwa unafanya zamani ndiyo maana hata walipokwenda kubembea tulihoji mbona hatukusema ni uhuru wao. Wana uhuru kuzaa wapendavyo lakini kama viongozi wanatoa somo gani kwa wanaharakati wa uzazi wa mpango, mfano siku Firstlady akialikwa kuhamasisha uzazi salama atashauri angalau usizidi miaka 35 au 50? na kuhusu idadi ya watoto atashauri vipi angalau wawili au 6, tunaviona ni vitu vidogo lakini vina impact yake.
 
sijii...........ila nilisikia kuwa rais ameoa mke mwingine kwani dini yake inamruhusu japo anaetambulika rasmi ni mmoja........
 
Acheni kuingiliwa faragha za watu.....
mwacheni mama wa kwanza kama kaamua kupata mtoto halituhusu.This is cheap talk indeed.
 
WoS hujambo mama?

Samahani avatar yako inanikwaza. Kila saa najikuta hali mbaya kwenye ikulu yangu.

Samahani kama nimekukwaza.
 
Acheni kuingiliwa faragha za watu.....
mwacheni mama wa kwanza kama kaamua kupata mtoto halituhusu.This is cheap talk indeed.

Maybe you dont know how important a First Lady is however private this sounds to you.......look at the French with theirs......first world
 
I sure as hell do know buddy..talking of the west... Cherry Blair had one during the hubby's tenure

Mi nadhani hapa habari ni kuwa:Je kwa umri wake yule anaweza kupata uja uzito. I think she is above 50. Au prezidaa ana kimwana kingine?

WoS naomba usinijibu, maombi yako naona hayajasikilizwa.
 
Yes, Salma ni mwanamke tena ana ndoa, si tasa kwa kuwa tunajua alishazaa. Kwa hakika wana uwezo wa kuwatunza hao watoto waliopo na wajao kama watazaa. Acha azae na hongera zao.
 
Back
Top Bottom