Recent content by mwaura Tesha

  1. M

    JamiiForums Tanzania Changamoto za wapangaji

    Mm nataka wapangaji walipe mwezi mmoja moja MTU kwenye mshahara anapokea kwa mwezi kodi alipe kwa mwaka si unatengeneza wezi Sent from my itel it1516 Plus using JamiiForums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msimamo wa CHADEMA waparaganyika

    Huna Jipya Nina Hakka kiboko yenu ni huyo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mkulu kama kweli wataka kulinda rasimali za nchi tupe katiba mpya

    Hiyo ndio suluhu pekeee
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu TLS: Itabidi Tundu Lissu ajiuzulu

    Kwanza kura ni 1689 kapata 1411 kama sikosei ukicheki tu kura utajua wote bila kujali chama wanamkubali
  5. M

    JamiiForums Tanzania Paul Makonda avamia Clouds Media na kuwatisha SHILAWADU

    Ashindanaye na Mungu atapasuka nakuangamia vibaya
  6. M

    JamiiForums Tanzania Msimsumbue Makonda kuhusu vyeti au tuhuma zozote, mwenye mashaka atoe vithibitisho

    Tukutane kisutu jumanne
  7. M

    JamiiForums Tanzania Anayefurahia kinachoendelea Dodoma ajipime kwanza!

    Hawezi wala hata kujaribu unajua kuna TV ngapi na redio ngapi Zimbabwe linganisha na tz unajua kuna NGO ngapi uliza kwa Mgabe unajua kuna vyama vingapi vya siasa kaulize na Zimbabwe Yangu wapate Uhuru wanaamini Mgabe ndio baba Yake so Tanzania
  8. M

    JamiiForums Tanzania Anayefurahia kinachoendelea Dodoma ajipime kwanza!

    Ccm yenye laana unategemea ifanye yenye Baraka hivi muuwaji akiuwa kipi chakushangaza
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Mchungaji Gwajima anayo laana ya kumtukana Kardinali Pengo

    Huyu Mzee ndio mwenye laana maana hakuna anatetea wasiitenda haki asiye na laana pamoja nao
  10. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wamtelekeza Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Geita, Mhere Mwita baada ya kupata ajali Dodoma

    Unatafuta kiki Sent from my itel it1516 Plus using JamiiForums mobile app
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mlinga: Vita ya madawa imeibuka tuu ila Makonda ana yake binafsi

    Huyu mlinga upo Wakati ananiburudisha Kabisa lkn
  12. M

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe kaacha Mambo ya siasa?

    Kesho Fanya hivi kuanzia SAA NNE asubuhi uje uwepo kwenye ibada kuu yeye atakuwepo umsikie mwenyewe kwa nasikio yako
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ahadi ya Makonda kwa BAKWATA Ujenzi wa Makao Makuu

    Yy mwenyewe kwa ugomvi huu ametengeneza watu wakumfuatilia mda mfupi watamwanika hadharani
Back
Top Bottom