MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,252
- 8,003
Nilijiuliza sana, huyu bwana alianza kazi akiwa mkuu wa wilaya ya Kinondoni 2014, 2016 akawa mkuu wa mkoa DSM.Tukaambiwa ametoa ahadi ya kuwajengea BAKWATA jengo la kisasa makao makuu linalogharimu kiasi cha billion 5. Yaani miaka 3 tu kazini alitoa ahadi ambayo mawaziri wa hawajawahi kutoa, Lowassa alikua akichangia sana makanisani na misikitini lakini hakuwahi kufikia kiasi hicho.
Zilipita siku kadhaa nikasikia GSM ndio wafadhili wa mradi wa Ujenzi wa jengo hilo. Lilikua swali la kujiuliza sana, usawahiba wa huyu Rais wa Dar na Mataijiri hao una nini ndani yake? Tunashangaa nini leo kusikia huyu bwana anamiliki maghorofa na magari ya kifahari? Ni kwanini GSM ambao wamekua akituhumiwa kufanya nao biashara hata kabla ya ahadi hiyo wawe wafadhili wa mradi kupitia ahadi yake?
Uzalendo huu wa Dar mpya na vita dhidi ya madawa ya kulevya juu yake Mungu pekee anaujua.Siku itafika Mh Rais ata-realize aina ya uzalendo wa kijana wake mwaminifu.