CHADEMA wamtelekeza Mwenyekiti wa BAVICHA wilaya ya Geita, Mhere Mwita baada ya kupata ajali Dodoma

Status
Not open for further replies.
Sio rahisi chama chochote kile cha siasa kuweza kumsaidia kila kada akipata matatizo! watasaidia wangapi?! na je hilo liko kwenye kanuni na utaratibu wa chama chao! wanachama ni wengi na kila mtu anashida zake
 
huyu sio mwanachama wa kawaida, ni MWENYEKITI WA MKOA WA BAVICHA, Kimsingi huyu bwana anacheo cha juu kuliko hata LOWASA
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom