tusionacho
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 274
- 514
Rasimu ya pili ya katiba ya Warioba ilipendekeza ili kudhibiti uingiaji mikataba mibovu kabla ya kusaini mikataba inabidi ikajadiliwe bungeni, ili kuiponya nchi kwa muda mrefu hata usipokuwepo madarakani tupate katiba itakayobana mafisadi wezi na wala rushwa rudisha mchato tuanzie pale kwenye rasimu ya pili ili uonyesha unapenda nchi kwa kubadili mfumo vinginevyo tutaishia kwenye siasa za matukio tu.