Recent content by mwasiunoga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuna mpasuko mkubwa mno ndani ya CCM kutokana na wamachinga wanavyotendewa

    Alienacho ataongezewa na asie kuanacho hata kile kidogo anachodhaniwa kua nacho atanyang'anywa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tembele Bamia na mchicha, kwa lugha ya kiingereza hivi vitu vinaitwaje?

    amaranthus- mchicha, na Bamia ni okra ama comon name ni ladyfingers yaani vidole vya mwanamke/mrembo
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jerry Muro: Uongo wa dereva wa Lissu ni kusema umefuatiliwa na gari muda wote hujachukua hata Namba ya gari?

    Namba 4 kama mbowe anataka Tundu Lisu afe eti kwaajili ya nafasi ya uenyekiti kwann ahangaike kusaidia atibiwe?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuwa Gentleman, Mwanamke akiamua kukutunuku anakutunuku kiroho safi

    Ndoa tar 16 kumbe ni Doris jirani yangu nimeshamjua haaaa haaaa haaaa
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tabata Kimanga tumemkosea nini mbunge?

    Nikweli Tabata Kimanga ni tatizo ni shida hata uvumilivu tumevumilia sana.Kwakifupi ni kwamba Kimanga kuanzia ngazi ya chini inaongozwa na Ukawa sasa anaangalia maeneo ambayo alipata kura nyingi za ccm ndio anaenda ikumbukwe bila kugawana kura kati ya cdm na Cuf sasa hivi Mbunge angekua Mtatiro...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu hebu haraka sana tuacheni huu ushamba na tubadilike pia

    Oa wakwako ukacheze nae au muache wakwako acheze nao mabachela hio ni sherehe ya harusi na unaenda na wako kama vipi tafuta alie singo ukacheze nae uje harusini eti unaomba ucheze na wangu hio ni HAPANA
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi halotel wamepatwa na nini?

    internet ya uhakika ni Airtell
  8. M

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeshtuka jamaa kwanini anaogopa kusafiri safiri nje ya nchi

    Hifadhi ya barabara mita 120?hata tuliosafiri kwenda south africa na marekani kwa mfano hakuna road yenye upana huo duniani hii ni ya kwanza...!
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya kazi ambazo mhudumu ukiwa mwanaume uwezi lala njaa

    Ni nafuu ya kiume lakini kwenda kuoshwa mapaja??????Kama nae anenda salun kuoshwa nywele na wanaume haina shida mkuu lkn mapaja ???mapaja??ansuguliwa mapaja ??aaaah hio sio wala sio wivu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya kazi ambazo mhudumu ukiwa mwanaume uwezi lala njaa

    Huwezi lala njaa au huwezi kosa mwanamke au dem?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya kazi ambazo mhudumu ukiwa mwanaume uwezi lala njaa

    Hatari sana hao unakuta mwanamke kamnyanyulia mguu juu hadi mkato wa bibi unaonekana...unaoshwa mapaja wewe kuoga mwenyewe huwezi?kujilengesha tu..
  12. M

    JamiiForums Tanzania Escrow: Wale waliochukulia Stanbic hawafahamiki; watarudisha kweli?

    Ndio maana ikaitwa Simba mbele ongeza trust sasa ulishawahi kuona trust inakamatwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jokate Urban Mwegelo atamalaki sasa UVCCM, ndo awa rasmi naibu Kaimu wa Kaimu Katibu Mkuu

    kwani akipata nafasi na ana weza kuitumikia kuna ubaya gani?Kwani wewe chama hakijui ulikipigania na kwann umebwagwa kapewa yeye?Kumbuka kukaa jirani na makaburi sio kufa upesi haaahaaaahaaaaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye kijana anayekula utamu wa Wolper

    ujinga tu kwani kila ukipata bwana lazima dunia yote ijue wangapi wanafunga na ndoa hata hawatangazi
Back
Top Bottom